Niliipotezea ili nisimkere."Kinyaji" We masai umepigaje hapo!
hadi meitamani 😋😋napenda Ceres Apple
Ni tamu, nikinywa hasa ikiwa ya baridi kidogo inapita vyema kabisa kooni
🍺🫡.Stress quencher🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hebu share hapa kinyaji chako ukipendeleacho zaidi na kwa nini unakipenda. Anza Mshana Jr
Niliipotezea ili nisimkere.
Kwani kuna shida mkuu?Ilikuwa utani tu.Hiyo ni typo ndogo tu; watu wazima huwa haongelei typos, bali tunaongelea mada
hahah hata mada yenyewe imekaa kichit-chatHiyo ni typo ndogo tu; watu wazima huwa haongelei typos, bali tunaongelea mada
sawa bosi tuko pamojaElewa kuwa kuna vinywaji kama tangawizi ni tiba. Usibabaishwe na neno "kinywaji".
Haya mkuu !! Basi mimi kinyaji changu ni gongo.Hiyo ni typo ndogo tu; watu wazima huwa haongelei typos, bali tunaongelea mada