Unadhani ni nchi gani jirani imepandikiza kikamilifu majasusi wake mahiri maeneo / idara nyeti za Tanzania?

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
1. Malawi
2. Zambia
3. Congo DR
4. Kenya
5. Burundi
6. Uganda
7. Rwanda atokayo member mmoja maarufu jamiiforums ambaye kwa bahati mbaya jina lake kwa sasa ameir seif wete paje kidagaa ( cognizant ) mimi nimelisahau?
8. South Sudan
9. Msumbiji
 
Nchi zote hizo.maraisi wake wamelelewa Tanzania na JWTZ
Kagame alikuwa JWTZ Kambi ya msumbiji ndio maana Hadi kapeleka Jeshi kule anakujua vizuri kupitia JWTZ ,Mseveni alikuwa Jeshi la Tanzania,Raisi wa msumbiji aliyepo Sasa kakulia Tanzania kasoma Tanzania aliiishi kurasini,Raila Odinga kaishi Tanzania kama mkimbizi kasoma Tanzania,Mzee Kabila na mwanae Kabila wote walikuwa Tanzania ndani ya mojawapo ya Jeshi la Tanzania Nchi nyingi za kusini mwa Africa na kati na Afrikaans mashariki viongozi waliopo wamewekwa na Tanzania kama hujui

Hakuna nchi ya kupandikiza majasusi Tanzania haipo nchi yeyote ya kiafrika hata iwe SomaliaTanzania

Sana sana wanapewa uongozi ili siku kikiinuka kwao waende wakashike nchi bila shida Wala kuhitaji mafunzo mapya ya uongozi
 
una akili sawa sawa kichwani?
 
Back
Top Bottom