Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

kocha Nabi

JF-Expert Member
Feb 1, 2022
590
1,466
Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili.

Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu.

Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba power window na taa zote, kila nikipiga kelele kumuita mjumbe sauti haitoki.

Kila mara usiku nikiamka natoka sebleni naichungulia kama ipo.🤣
hata nikipark sehemu kwa mchana nikilock nitakagua milango yoye kama imefunga na hata nikiondoka nitageuka nyuma mara kwa mara kuiangalia.

Hali hii ilishawah kukukuta? share nasi experience yako ilikuwaje na iliondoka kwa mda gani.
 
naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili.
mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu.

kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba power window na taa zote, kila nikipiga kelele kumuita mjumbe sauti haitoki.

kila mara usiku nikiamka natoka sebleni naichungulia kama ipo.
hata nikipark sehemu kwa mchana nikilock nitakagua milango yoye kama imefunga na hata nikiondoka nitageuka nyuma mara kwa mara kuiangalia.

hali hii ilishawah kukukuta? share nasi experience yako ilikuwaje na iliondoka kwa mda gani.
Mi sikuwa na shida ila jirani yangu ndo alikuwa anaumia sana, maana sinkwa kuchungulia kule dirishani
 
naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili.
mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu.

kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba power window na taa zote, kila nikipiga kelele kumuita mjumbe sauti haitoki.

kila mara usiku nikiamka natoka sebleni naichungulia kama ipo.🤣
hata nikipark sehemu kwa mchana nikilock nitakagua milango yoye kama imefunga na hata nikiondoka nitageuka nyuma mara kwa mara kuiangalia.

hali hii ilishawah kukukuta? share nasi experience yako ilikuwaje na iliondoka kwa mda gani.
Hii kweli? Au mawazo yako tu sababu muda wote unaiwaza gari?

Hali itaisha tu nafikiri ukidumu nayo kwa kipindi fulani....!

Lakini,nimefurahi 🤣
 
IMG_20240131_115855.jpg

mabibo sokoni hapo. endelea na chai sukari ipo chini koroga na ulimi.
 
Back
Top Bottom