Kijana wa Dar tumia hii mvua ya leo kuwa fursa kwa kuwavusha watu kwenye mifereji

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Sijaandika huu uzi kwa lengo la kumkebehi mtu,

Dar kuna mifereji na mito mingi ambayo ikinyesha mvua kubwa kiasi tu inafunga mawasiliano kati ya watu wa huku na kule kwa dk kadhaa.

Unajitega unavusha masharobaro kwa jero, buku mpaka mia mbili. Usiache kichwa.
Jioni ukiingia mfukoni una 20.

Pesa ya kununulia bando na chai katika harakati za kusaka ajira.

Mimi leo nimevushwa kwa jero.
 
Sio kila kitu mnasema fursa tu.....Akitoka na magonjwa kama pneumonia nk hiyo 20k haina maana.
Muda mwingine kabla hamjaanza kusema kila kitu fursa fanyen Cost-Benefit analysis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaandika huu uzi kwa lengo la kumkebehi mtu,

Dar kuna mifereji na mito mingi ambayo ikinyesha mvua kubwa kiasi tu inafunga mawasiliano kati ya watu wa huku na kule kwa dk kadhaa.

Unajitega unavusha masharobaro kwa jero, buku mpaka mia mbili. Usiache kichwa.
Jioni ukiingia mfukoni una 20.

Pesa ya kununulia bando na chai katika harakati za kusaka ajira.

Mimi leo nimevushwa kwa jero.
Kwa hiyo umebebwa mgongoni ? Kw mwanaume mwenzio alafu akakushika matako usianguke mgongoni ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niombe radhi mwenyekiti mstaafu wa CHAPUTA kanda ya kusini.
Wapiga chaputa hawana stamina?
Niwie radhi mkuu..ila kuna wale wasio na mazoez huwa miguu yao haina nguvu hata ukimwambia asimame kwa mguu mmoja hawez utaona anatetemeka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom