Nina elimu ya form 4, natafuta kazi yoyote

Aug 15, 2018
49
28
Wasalaam ndugu.

Natafuta kazi..

Nina elimu ya form 4 niliyoipata Azania secondary school.

Elimu ya kidato cha sita nimeipata Kibasila High school.

Ninauwezo wa kutumia computer kwa ufasaha na kuchapa kazi kwa kutumia Ms word na Ms Excell.

Nina uwezo wa kuandika muswada wa filamu(script writing) na kuchukua video(cinematography). Elimu hii niliipata University of Dar es salaam ingawa sikuweza kumalizia shahada yangu kwa sababu mbalimbali.

Nipo tayari na nina uwezo wa kufanya kazi yoyote ile hata ya kiwandani.

Napatikana Dar es salaam
0717082743.
 
Okay ulikua unasoma shahada udsm kwa kutokea form 4??

Umesema elimu yako ni form 4 inamaanisha hujasoma certificate wala diploma..umeweza je kwenda kusoma shahada udsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAzard cfc
Kichwa cha habari nimekosea..ila nimeenda kuchukua shahada baada ya kumaliza form 6 Kibasila high school iliyopo Dar es salaam Wilaya Ya Temeke..
 
Wasalaam ndugu.

Natafuta kazi..

Nina elimu ya form 4 niliyoipata Azania secondary school.

Elimu ya kidato cha sita nimeipata Kibasila High school.

Ninauwezo wa kutumia computer kwa ufasaha na kuchapa kazi kwa kutumia Ms word na Ms Excell.

Nina uwezo wa kuandika muswada wa filamu(script writing) na kuchukua video(cinematography). Elimu hii niliipata University of Dar es salaam ingawa sikuweza kumalizia shahada yangu kwa sababu mbalimbali.

Nipo tayari na nina uwezo wa kufanya kazi yoyote ile hata ya kiwandani.

Napatikana Dar es salaam
0717082743.
njoo ule course ya wiki 1 halafu uingie lindoni.

kama uko tàyari sema nikupe maelekezo
 
Subiri walio juu yako kielimu waajiriwe ,wakimalizika utaajiriwa . Nakushauri piga kitabu kwani waliosoma ni wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakukumbusha tu kua kupata nafas ya kuajiriwa sio lazima uwe umesoma sana. So hata kama waliosoma wawe milion wanaweza wakawa kijiwen halaf alieishia o level akapata kitengo cha mana na akaja kuwapa support hao unaowaita wamesoma. Mfano mzur ni mm mwenyew, mim niliishia form3 sabab za kiuchumi ila nikabeba zege nilipopata hela kidogo nikasoma coz ya CISCO online nikafanya exam nikawa certified kwa level ya CCNP. bila hata form4 nikapata ajira ya mana. Na siku ya interview tulikua 15 ambako 14 wote walikua na diploma in IT na vyeti vya form4. Lakin mm ndo niliopata nafas na sikua na mtu namjua pale. Kilicho nisaidia sio certificate za level kubwa bali ni experience na skills walizo hitaji wenye kampuni.
I stand to be corrected
 
mshahara mdogo tu sababu haukuwa na decorated paper vyeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom