Fursa kwa wamiliki wa stationary, shule, wanafunzi, waalimu na wadau wa elimu

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
Habari wakuu, ni matumaini yangu mko vizuri.

Leo nimewaletea fursa kwa wale wamiliki wa stationary, wamiliki wa shule au taasisi za kiellimu, wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi kidato cha sita na hata wazazi pia wanaweza nufaika.

Upatikanaji wa material ya kujisomea kwa wanafunzi umekuwa changamoto hasa wale ambao wanaishi maeneo ambayo siyo rahisi kuzipata, pia na wanaoanza kwa mfano wanafunzi wanaoanza shule za msingi, form one au wale wa pre-form five, bila kusahau na wale wa kurisiti lakini pia hata wale walio mashuleni bado suala la kupata material ya kujisomea ya aina mbalimbali imekuwa ni changamoto hivyo binafsi nilikaa na kuliangalia na kulifanyia kazi kisha nilifanikiwa kukusanya study materials za aina mbalimbali kama ilivyoainishwa hapa chini.

Material haya ni tofauti na zile za online za kusoma bila kuwa na access ya kupakua kwa matumizi ya baadae, material haya unaweza kufanyia editing zozote kutegemeana na uhitaji wako na hata ku-print pia.

Lengo langu nilikuwa nataka kufanya kazi na watu wafuatao:-

1. Wamiliki wa stationary.
Hizi study materials unaweza print na kuuza kwa wanafunzi au hata kuuzia shule kutegemeana na uhitaji, hivyo kwa wewe mmiliki wa stationary unaweza chukua package fulani kutegemeana na uhitaji au makubaliano kisha kuprint na kuwauzia wanafunzi katika maeneo uliyopo..

2. Wamiliki wa shule.
Kwa wamiliki wa shule unaweza kuchukua package kutegemeana na uhitaji na hata kama utachukua library nzima ni wewe tu na utaweza kutumia shuleni.

3. Wanafunzi, waalimu na wazazi.
Mwanafunzi unaweza kuchukua kwa lengo la kujisomea
Mwalimu unaweza kuchukua kwa lengo la kufundishia
Mzazi unaweza kumchukulia mwanao.

4. Wamiliki wa websites au blog za elimu.

Pia kwa wale ambao wangependa kuchukua kwa lengo la kufanyia biashara tofauti na jinsi nilivyoainisha hapo juu pia tunaweza kuwasilina.

MUHIMU: Material yote yapo katika mfumo wa soft-copy na unaweza kutumiwa popote ulipo kwa njia ya emai, whatsapp, telegram au Google drive.

KARIBU KUPITIA SUMMARY YA LIST YA MATERIAL YOTE YALIYOMO.
(Nimeandaa kwa ufupi hivyo kama kutakuwa na mengine ambayo unahitqji na hujaona kwenye list unaweza ulizia tu na utapata bila tatizo.)

STUDY MATERIALS (LESSON NOTES, BOOKS, QUESTION AND ANSWERS REVISIONS, PASTPAPERS, PRACTICALS.

1. Complete notes from primary to form six all subjects.

Primary notes English medium and Swahili medium masomo yote.

2. Past papers (Exams) with marking scheme (Primary level, O-level and Advance level)

TESTS, MOCK, NECTA, TERMINAL, ANNUAL, PRE-NECTA, PRE-MOCK EXAMS.

3. COMPLETE SCHEMES OF WORK ALL SUBJECTS (Primary level, O-level and Advance level).

4. POWERPOINT NOTES.

5. LITERATURE ANALYSIS

(PASSED LIKE A SHADOW, UNANSWERED CRIES, SPARED, THE LION AND THE JEWEL, THREE SUITORS ONE HUSBAND, HOUSE BOY, THE CONCUBINE, ETC)

6. UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI RIWAYA, TAMTHILIA NA MASHAIRI.

7. TEXTBOOKS
(Primary level, O-level and Advance level)


Kwa wamiliki wa stationary , shule , website na waalimu ambao watahitaji library nzima, yaani vyote vilivyo katika tangazo hili na mengine tunaweza wasiliana pia.

8. QUESTION AND ANSWERS REVISON PAMPHLETS (Primary level, O-level and Advance level)

9. Solved practical Questions and answers form one to form six,
physics, chemistry and biology.

FULL HOLIDAY PACKAGES FROM PRIMARY LEVEL TO ADVANCE LEVEL.

From Baby class to standard 7 (English Medium)

1.Mathematics
2.English
3. Science
4.Social Studies
5.Kiswahili
6.Civic and moral.

FORM ONE TO FORM FOUR
1. Mathematics
2. English
3. Biology
4. Geography
5. Civics
6. History
7. Chemistry
8. Kiswahili.
9. Literature in English
10. Physics

A-LEVEL PACKAGES ARE ALSO AVAILABLE ALL SUBJECTS. .

Call/whatsapp/sms: 0687 934 511

Email: musabskilld@gmail.com.

PM pia unaruhusiwa kuja.


Karibu kwa yeyote mwenye maswali au maoni.
 

Attachments

  • 1588053394133.png
    File size
    870.6 KB
    Views
    0

Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
811
1,000
Nyie mnauza material ya kukaririsha sana elimu hii ya bongo.
 
Oct 10, 2018
29
75
Unaweza kuchukua package ya primary peke yake, package ya o level peke yake au package ya A level peke yake.Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kazi uliyoifanya na sasa kutafuta walaji wa huduma yako. Napenda kuunga mkono wapambanaji wenzangu kwa namna tofauti tofauti. Naomba kujua gharama za package ya std v na kama utakuwa huru nitumie kwenye pm topic au subtopic ya "fractions" kama nitaielewa bidhaa ntakuunga mkono.
 

enelisamwakapala

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
245
500
Pongezi sana mkuu, ila hofu yangu haki miliki ya ubunifu wako haiko salama, mtu anaweza kununua package halafu yeye akaanza kuiuza na kunufaika kuliko wewe mbunifu.
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
Hongera kwa kazi uliyoifanya na sasa kutafuta walaji wa huduma yako. Napenda kuunga mkono wapambanaji wenzangu kwa namna tofauti tofauti. Naomba kujua gharama za package ya std v na kama utakuwa huru nitumie kwenye pm topic au subtopic ya "fractions" kama nitaielewa bidhaa ntakuunga mkono.
Asante sana mkuu. Kwa upande wa primary niliwekeza nguvu Katika kutafuta pastpapers na holiday packages zenye maswali mengi sana kwa kila set kuanzia baby class hadi std 7. Bado nafanya utaratibu wa notes za primary kwa level ya primary boss. Ntakuwa naweka update kwenye uzi huu na ntakutumia sample ili uweze kupitia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
Pongezi sana mkuu, ila hofu yangu haki miliki ya ubunifu wako haiko salama, mtu anaweza kununua package halafu yeye akaanza kuiuza na kunufaika kuliko wewe mbunifu.
Asante sana mkuu. Binafsi nipo huru kiasi kwamba mteja akishachukua package yake husika anakuwa huru kufanya lolote either kuprint ili kuuza, kujisomea au kuweka kwenye websites kwa lengo la biashara. Sina tatizo na yule ambaye atakuwa mbunifu katika kuzitumia vema kwa manufaa yake. Karibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oct 10, 2018
29
75
Asante sana mkuu. Kwa upande wa primary niliwekeza nguvu Katika kutafuta pastpapers na holiday packages zenye maswali mengi sana kwa kila set kuanzia baby class hadi std 7. Bado nafanya utaratibu wa notes za primary kwa level ya primary boss. Ntakuwa naweka update kwenye uzi huu na ntakutumia sample ili uweze kupitia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila ujitahidi kwenda na kasi ya muda kipindi hiki cha mpito kinaifanya fursa iwe wazi kwa upande wako,zuio litakapokoma na mahitaji yanaweza shuka . Pambana
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
Sawa ila ujitahidi kwenda na kasi ya muda kipindi hiki cha mpito kinaifanya fursa iwe wazi kwa upande wako,zuio litakapokoma na mahitaji yanaweza shuka . Pambana
Umenena vema mkuu, ni kweli kabisa boss maana binafsi naona idadi inakuwa kubwa ya wanaokuja kuchukua tofauti na hapo awali. Be blessed mkuu, bado tunaendelea kupambana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
*FULL HOLIDAY PACKAGES FROM PRIMARY LEVEL TO ADVANCE LEVEL.*

From Baby class to standard 7 (English Medium)

1.Mathematics
2.English
3. Science
4.Social Studies
5.Kiswahili
6.Civic and moral.

0752026992

FORM ONE TO FORM FOUR
1. Mathematics
2. English
3. Biology
4. Geography
5. Civics
6. History
7. Chemistry
8. Kiswahili.
9. Literature in English
10. Physics

A-LEVEL PACKAGES ARE ALSO AVAILABLE ALL SUBJECTS.
0752026992

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
*Revisions question and answers softcopy document.*

Form one to form six

Physics
Chemistry
Maths
Biology

Practicals solved problems with solutions form one to form six.

Chemistry
Biology
Physics.

All Available softcopy.

Whatsap 0752026992

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
STUDY MATERIALS.

Mzazi pia unaweza mchukulia mwanao.

Material yote yapo katika mfumo wa softcopy hivyo unaweza tumiwa kwa njia ya whatsap, telegram au email popote ulipo Tanzania.

Simu: 0752026992, Email: musabskilld@gmail.com.

1. Complete lesson notes from form one to form six all subjects.

2. Past papers (Exams) with marking scheme (Primary level, O-level and Advance level)

3. COMPLETE SCHEMES OF WORK ALL SUBJECTS (Primary level, O-level and Advance level).

4. LITERATURE ANALYSIS

(PASSED LIKE A SHADOW, UNANSWERED CRIES, SPARED, THE LION AND THE JEWEL, THREE SUITORS ONE HUSBAND, HOUSE BOY, THE CONCUBINE, ETC)

5. UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI RIWAYA, TAMTHILIA NA MASHAIRI.

6. TEXTBOOKS
(Primary level, O-level and Advance level)

7. QUESTION AND ANSWERS REVISON PAMPHLETS (Primary level, O-level and Advance level)

8. Solved practical Questions and answers form one to form six,
physics, chemistry and biology.

FULL HOLIDAY PACKAGES FROM PRIMARY LEVEL TO ADVANCE LEVEL.

From Baby class to standard 7 (English Medium all subjects)

FORM ONE TO FORM FOUR (All subjects)

A-LEVEL PACKAGES ARE ALSO AVAILABLE ALL SUBJECTS.

#coronaholidaypackageexams, #mathematics, #physics #chemistry #primaryschool #formonetoformfour #Advancelevel

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
FULL HOLIDAY PACKAGES FROM PRIMARY LEVEL TO ADVANCE LEVEL.

Whatsap/Call/sms 0752026992
Email: musabskilld@gmail.com

PRIMARY LEVEL ALL SUBJECTS.

1. Baby class.
2. Middle class.
3. Pre-unit
4. Standard 1 to standard 7.

ORDINARY - LEVEL ALL SUBJECTS
1. Form one.
2. Form two.
3. Form three.
4. Form four.

ADVANCE LEVEL ALL COMBINATIONS.
1. All science subjects (PCM, PCB, PGM, CBG etc)

2. All arts subjects (HKL, HGL, HGE etc)

Whatsap/Call/sms 0752026992
Email: musabskilld@gmail.com
20200427_064757_0000.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,064
2,000
GOOD NEWS KWA WANAFUNZI WA O LEVEL AND A LEVEL
Soft copy Advanced Level Chemistry notes in pdf format anayehitaji, 0752026992
GENERAL CHEMISTRY
PHYSICAL CHEMISTRY
ORGANIC CHEMISTRY
INORGANIC CHEMISTRY
CHEMISTRY SOLVED PRACTICAL FORM A LEVEL
BIOLOGY FORM 5 AND 6
PRACTICALS PHYSICS QUESTIONS (A LEVEL)
SOLVED PHYSICS PRACTICALS O LEVEL
BIOLOGY FORM 1-4
GEOGRAPHY 1,2,3 &4
PHYSICAL GEOGRAPHY QUESTIONS AND ANSWERS
HISTORY PAMPHLETS (1-4) combined notes

SOFT COPY BOOKS FOR SALE Advanced Level
Pure Mathematics 1
Pure Mathematics 2&3
University Physics
Advanced Level physics M. Nelkon& P. Parker
Advanced Level Chemistry by E. N. Ramsden..4th Edition
S.CHAND PUBLISHER CHEMISTRY SOFT COPY BOOKS
Motivation Books
Entrepreneurs Books
Politics Books
Intelligence Agencies Books (FBI, CIA etc)

Utatumiwa vitabu/notes kwa njia ya WhatsApp baada ya malipo, Whatsap number 0752026992

PIA KWA MASOMO MENGINE PRIMARY, O LEVEL NA ADVANCE LEVEL MATERIAL YAPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom