Wizara ya Elimu imeshindwa kuandaa audio na video ya vipindi vya masomo mbalimbali?

Hilo suala litasababisha digital divide kuna maeneo mengi sana ni underserved, watatumia njia gani kuaccess hizo contents? Je kwa kufanya hivyo maana yake wanafunzi watakaporudi shuleni hawataanzia walipoishia? Manake hakuna uwezekano wa kuwafikia hata 50% tu. Hili suala la Covid-19 lisichukue muda mrefu tu kwani litahathiri miula ya masomo tu.

Kwa mtazamo wangu nadhani vyuo vikuu vinaweza ku-cope, lakini elimu ya msingi na sekondari ipo shida kubwa kwenye teknolojia ya habari.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Mimi ninaendesha kipindi kila siku Online na wanafunzi wangu karibu wote wanashiri vzr sn. Yaani hapa hata wakitakiwa kurudi vyuoni, mtihani ukiwa wiki moja baada ya kufungua wanapasua vzr. Nipo chuo flani, vijana walitakiwa wafanye mtihani mwezi mei
Karne hii ya kidigitali wizara hii inafanya ? Vifaa vipo, walimu wapo wa kurekodi, nini shida?

Kwa kila topiki tena na nyenzo za kufundishia

Hii Wizara iamke usingizini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo suala litasababisha digital divide kuna maeneo mengi sana ni underserved, watatumia njia gani kuaccess hizo contents? Je kwa kufanya hivyo maana yake wanafunzi watakaporudi shuleni hawataanzia walipoishia? Manake hakuna uwezekano wa kuwafikia hata 50% tu. Hili suala la Covid-19 lisichukue muda mrefu tu kwani litahathiri miula ya masomo tu.

Kwa mtazamo wangu nadhani vyuo vikuu vinaweza ku-cope, lakini elimu ya msingi na sekondari ipo shida kubwa kwenye teknolojia ya habari.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
Vyuo vikuu vyetu wanafunzi wake wanajua tu ku-download series,nyimbo,movies,porn,insta,ku chat kwny ma-group ya watsap ya waliosoma nao primary/sec/waliopata wote mafundisho/kimaimara, ku-google diamond ana utajiri kiasi gani na amezaa na wakina nani.FULL STOP

Ila mambo ya kufuatilia vitu vya msingi/masomo huko mitandaoni sio mambo yanayowahusu.
 
Suala la elimu ni kitu Bora katika jamii yoyote Ile.
Covid 19, kavamia hakuna mipango lkn hili la vyombo vyetu vya habari radio, magazeti na television ndo wakati muafaka kupitia wizara ya elimu kuendesha vipindi maalum hasa kwenye haya madarasa ya mitihani 2020.
 
Karne hii ya kidigitali wizara hii inafanya ? Vifaa vipo, walimu wapo wa kurekodi, nini shida?

Kwa kila topiki tena na nyenzo za kufundishia

Hii Wizara iamke usingizini

Ulitakiwa uwaambie before corona ili na wewe usionekane mtu wa gubu, kujishaua, mnafiki na mpenda kulaumu wengine...

Umejua kuwa kuna online teaching lini??
 
anamaanisha audio na video zirushwe kwenye televisheni na redio ili watoto wajifunze wakiwa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense! mwanafunzi akiwa na swali atamuulizaje mfunzi wake? Akiwa hajafahamu mfunzi atajuaje? au vipi wanajua kama hata wanasikiliza ama kutizama icho kipindi?

Na vipi shule za private nazo? Hata wao pia Wizara ya Elimu iwafanyie hio kazi? Comeon! Tuwe wahalisia wanandugu.
 
Back
Top Bottom