Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
9,887
12,270
Umofia kwenu GTs.

Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina. Wangefanya kazi yao vizuri leo hii nadhani vyuo vikuu vyote wanafunzi wangeendelea kusoma online.

Wizara ya Afya-hawakufanya uchambuzi sahihi namna ya kukabiliana na COVID19. Wangefanya kwa kina leo hii wauguzi na madakitari wangeajiliwa wengi, vifaa tiba na vya kujikinga vingekuwa vingi na tena vingine vingetengenezwa hapa Tanzania, maslahi ya wauguzi na madakitari yangeboreshwa kipindi hiki cha mpambano (posho zao zingewahishwa na kutolewa bila usumbufu).

Wizara ya Fedha-Walijiandaa vizuri (hongera sana Mh. Doto James, Mh. Dr Philip Mpango, Dr. Ashatu Kijaji), na ndiyo maana wizara hii imempatia ushauri sahihi rais, badala ya kukopa tupewe unafuu wa kulipa madeni, tusifunge biashara etc.

Wizara ya mambo ya ndani-Walifanya kazi yao vizuri sana kuchambua madhara ya COVID19, WUHAN lockdown ulikuwa mtego kwa ajili ya mahasimu wa China. Pamoja na total lockdown China haikuweza kumaliza maambukizi ila ilichofanya ni kuacha kuripoti visa vipya vya wagonjwa na vifo.
 
Kuhusu vifaa vya madakitari kutengenezwa hapa Tz siwalionyesha cku moja kwenye Tv mavazi maalumu yaliyotengenezewa hapa wakilinganisha na ya kutoka nje? Kwa mavazi maalumu kwa madakitari sina hofu shida yangu ni kwenye hivyo vifaa vingine vya kuwahudumia wagonjwa wa Corona vipo au mpaka tuagize nje ya nchi na ndege ndo hazisafiri nini kifanyike?
 
Wizara husika haikujipanga, Mh. Ummy na Dkt Ndugulile walitumia muda mwingi kuwapinga akina Zitto kuonesha wamejiandaa.
 
Kuna jamaa kala uteuzi Nahisi ndio aliyempa jiwe Taarifa waliopona kuwa ni 100 badala ya 11. Majungu yataumiza selekali
Kwa maana hiyo confirmed cases ni at least 384, au sio?! Kwamba, walitudanganya waliopona ili kuficha idadi kubwa ya waliokuwa confirmed na COVID-19...

Thank you for the info... huo ndo uzuri wa msumeno; kukata huku na huku!!!
 
Toka mzee baba achimbe mkwara hakuna mgonjwa yyte yule wala kifo chochote cha corona...haya ndo mambo tunayoyataka na sio kushindana kutangaza covid cases
 
Umofia kwenu GTs.

Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina. Wangefanya kazi yao vizuri leo hii nadhani vyuo vikuu vyote wanafunzi wangeendelea kusoma online.

Wizara ya Afya-hawakufanya uchambuzi sahihi namna ya kukabiliana na COVID19. Wangefanya kwa kina leo hii wauguzi na madakitari wangeajiliwa wengi, vifaa tiba na vya kujikinga vingekuwa vingi na tena vingine vingetengenezwa hapa Tanzania, maslahi ya wauguzi na madakitari yangeboreshwa kipindi hiki cha mpambano (posho zao zingewahishwa na kutolewa bila usumbufu).

Wizara ya Fedha-Walijiandaa vizuri (hongera sana Mh. Doto James, Mh. Dr Philip Mpango, Dr. Ashatu Kijaji), na ndiyo maana wizara hii imempatia ushauri sahihi rais, badala ya kukopa tupewe unafuu wa kulipa madeni, tusifunge biashara etc.

Wizara ya mambo ya ndani-Walifanya kazi ya vizuri sana kuchambua madhara ya COVID19, WUHAN lockdown ulikuwa mtego kwa ajili ya mahasimu wa China. Pamoja na total lockdown China haikuweza kumaliza maambukizi ila ilichofanya ni kuacha kuripoti visa vipya vya wagonjwa na vifo.

Hayo unayoyasema yanafanyika kwenye nchi ambayo mkuu wake ana utu na anajua nini maana ya "collective responsibility"!
Huyu wa hapa kwetu kila kitu anajua yeye tu... Wengine wote japo ni wasaidizi wake lakini anawaona "ka wapumbavu fulani hivi"!
In a scenario like that imedhihirika kuwa uchambuzi wowote wa kina hautakiwi na ukijifanya kuuleta unaweza kupoteza vibarua vya wengi...!
Kila mteule alipaswa kuwa kimya kumsubiria Kayafa ana mtazamo gani!
But honestly ningekuwa Ummy au Ndugulile au Makonda au Dr. Zainab ningejiuzulu alfajiri na mapema!
Siwezi kutumikia bosi mpotoshaji, mkurupukaji, asokuwa na utu na anayedharau juhudi za wasaidizi wake!!
 
Good thinking, but they needed resources to facilitate this, in case the money was not given to them how could they reach this goal 'Swali fikirishi kama hao wote wanahitaji fedha ili kufanikisaha endapo fedha hizo hazikuwepo lawama ziende kwa nani''
 
Muda wote leo umeamua kwa mara ya kwanza kunanga wizara ya afya na Elimu wakati wewe ni mtetezi wa CCM hata ikikosea . Kweli kunakitu hakiko sawa. Ukwewli Wizara ya afya imechemsha,, Fikilia Dereva wa Lori anatoka Dar lakini anakuja kugundulika uganda kwa anaumwa Corona..Je Wizara husika wameshindwa kuweka utaratibu wa kupima hata madereva na makodakta wa mabasi na malori yanayotoka nje ya Dar ili wale wagonjwa wasiruhusiwe kwenda nje. Matokeo yake nchoi sasa inadhalilika sana

Umofia kwenu GTs.

Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina. Wangefanya kazi yao vizuri leo hii nadhani vyuo vikuu vyote wanafunzi wangeendelea kusoma online.

Wizara ya Afya-hawakufanya uchambuzi sahihi namna ya kukabiliana na COVID19. Wangefanya kwa kina leo hii wauguzi na madakitari wangeajiliwa wengi, vifaa tiba na vya kujikinga vingekuwa vingi na tena vingine vingetengenezwa hapa Tanzania, maslahi ya wauguzi na madakitari yangeboreshwa kipindi hiki cha mpambano (posho zao zingewahishwa na kutolewa bila usumbufu).

Wizara ya Fedha-Walijiandaa vizuri (hongera sana Mh. Doto James, Mh. Dr Philip Mpango, Dr. Ashatu Kijaji), na ndiyo maana wizara hii imempatia ushauri sahihi rais, badala ya kukopa tupewe unafuu wa kulipa madeni, tusifunge biashara etc.

Wizara ya mambo ya ndani-Walifanya kazi ya vizuri sana kuchambua madhara ya COVID19, WUHAN lockdown ulikuwa mtego kwa ajili ya mahasimu wa China. Pamoja na total lockdown China haikuweza kumaliza maambukizi ila ilichofanya ni kuacha kuripoti visa vipya vya wagonjwa na vifo.
 
Hayo unayoyasema yanafanyika kwenye nchi ambayo mkuu wake ana utu na anajua nini maana ya "collective responsibility"!
Huyu wa hapa kwetu kila kitu anajua yeye tu... Wengine wote japo ni wasaidizi wake lakini anawaona "ka wapumbavu fulani hivi"!
In a scenario like that imedhihirika kuwa uchambuzi wowote wa kina hautakiwi na ukijifanya kuuleta unaweza kupoteza vibarua vya wengi...!
Kila mteule alipaswa kuwa kimya kumsubiria Kayafa ana mtazamo gani!
But honestly ningekuwa Ummy au Ndugulile au Makonda au Dr. Zainab ningejiuzulu alfajiri na mapema!
Siwezi kutumikia bosi mpotoshaji, mkurupukaji, asokuwa na utu na anayedharau juhudi za wasaidizi wake!!
Hapana usimlaumu rais. Washauri wake inaweza kuwa tatizo. Kumbuka rais wetu ni very bright na yupo vizuri sana. Hatua alizosema siku ile zilipaswa kuwa zimefanyiwa kazi na wateule wake hata kabla ya hotuba.
 
...
Wizara ya Afya-hawakufanya uchambuzi sahihi namna ya kukabiliana na COVID19. Wangefanya kwa kina leo hii wauguzi na madakitari wangeajiliwa wengi, vifaa tiba na vya kujikinga vingekuwa vingi na tena vingine vingetengenezwa hapa Tanzania, maslahi ya wauguzi na madakitari yangeboreshwa kipindi hiki cha mpambano (posho zao zingewahishwa na kutolewa bila usumbufu).
....
Mosi; baada ya kuwatimua wale wa vyeti feki hakukuwa na mikakati ya maana ya kuziba pengo waliloacha. Ni as if ilichukuliwa kama hatua nzuri na muhimu ya "kubana matumizi"; badala yake sasa taifa limebanwa vilivyo! Uamuzi ule ulikwa wa wizara ya afya?

Pili, walingalia zaidi maendeleo ya vitu na ufahari usio na maana badala maendeleo ya watu hususan afya za wananchi. Dreamliner ingenunua ventilators ngapi? Ingenunua barakoa ngapi?
 
Dreamliner haina tatizo mkuu. Kikubwa wizara ya afya haikufanya uchambuzi wa kina ili kumshauri Mh. Rais. Hela mbona tunayo ya kufanya hivyo vyote na yet uwezo wa kununua dreamliner nyingine tunao. Tuzidi kumuomba Mungu atuepushe mkuu.
 
Hayo unayoyasema yanafanyika kwenye nchi ambayo mkuu wake ana utu na anajua nini maana ya "collective responsibility"!
Huyu wa hapa kwetu kila kitu anajua yeye tu... Wengine wote japo ni wasaidizi wake lakini anawaona "ka wapumbavu fulani hivi"!
In a scenario like that imedhihirika kuwa uchambuzi wowote wa kina hautakiwi na ukijifanya kuuleta unaweza kupoteza vibarua vya wengi...!
Kila mteule alipaswa kuwa kimya kumsubiria Kayafa ana mtazamo gani!
But honestly ningekuwa Ummy au Ndugulile au Makonda au Dr. Zainab ningejiuzulu alfajiri na mapema!
Siwezi kutumikia bosi mpotoshaji, mkurupukaji, asokuwa na utu na anayedharau juhudi za wasaidizi wake!!
wajiuzulu? Halafu? hawana matumbo?
 
Kama una jicho la tatu kwenye hili Tanzania imeonyesha udhaifu mkubwa na tuombe tu madhara makubwa yasijitokezenadhani hata mkuu ameshaliona hilo akaamua kurudi na kutaka tuombe Mungu maana mikakati ya kupambana na Corona hakuna. Kama taifa tungekuwa na mpango wa kuikabili Corona toka mwanzo tungeona atleast nuru kiasi badala tunasikia ni vilio, hofu n kutopatikana kwa taarifa sahihi kwa wakati. Matamko ya Makonda, Magu mwanzo kuwa huu ni ugonjwa mdogo tu walitoa wapi hizo taatifa kwa mtaalamu gani? nani alifanya assessment hiyo mpaka mtu atoke mbele atoe tamko kwa taifa.
Leo kimetokea nn mpaka kumekuwa na mabadiliko ya taarifa/approach.
Kingine si kila kitu kifanywe kisiasa. Mengine kama haya yanahitaji utaalamu sio porojo. Hapa tunazungumzia maisha ya watanzania ambayo kuna watu waliapa kuyalinda sio kuteketeza. Kila nchi inapambana kivyake moja na kuu ni kulinda raia wake. Lakini huku kwetu tunaona sarakasi tu zisizo na faida. Moja linalonisikitisha ni njia mojwapo ya kujikinga na corona ni kuvaa mask hakuna kiongozi yoyote aliyesema bei ya mask iwe kiwango gani. Watu wanajiuzia mpaka elfu 4 mask moja na kwakuwa kila mmoja anajipambania uhai wake inabidi anunue tu hana jinsi. Kwanini tusingejiandaa kwa either kuagiza au kutengeneza mask za kutosha halafu kuendelee na majukumu yetu huku kukiwa na tahadhari namba moja ya mask. Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana usimlaumu rais. Washauri wake inaweza kuwa tatizo. Kumbuka rais wetu ni very bright na yupo vizuri sana. Hatua alizosema siku ile zilipaswa kuwa zimefanyiwa kazi na wateule wake hata kabla ya hotuba.

Sioni jinsi unavyomuweka rais mbali na huu mkwamo...!
Nyumba ikikosa mwelekeo lawama zote kwa Mkuu wa kaya...!
Hii ni vita... Na ni wakati wa kupata presidential briefings za mara kwa mara kutoka kila wizara, sekta na kila idara!!
Badala ya kuongoza vita, yeye kajificha anashauri jinsi ya kupigana vita!! Na kila akiibuka anawapuuza wanaopigana tena fontline...!!!
Shame!!
 
Back
Top Bottom