elimu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Elimu bure maigizo, Sekondari ya Maendeleo inawachangisha wazazi

    Salaam wakuu. Kuna wimbo mmoja unaimbwa sana juu ya elimu bure katika utawala wa awamu ya tano wa Magufuli. Kama ni kweli elimu hiyo inatolewa bure, basi kuna watumishi wanamuhujumu. Shule ya Sekondari Maendeleo, iliyopo Kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni inawatoza wazazi na kuwazuia wanafunzi...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Muone mtoto wa ajabu anayejua hesabu

    Huyu dogo ni kiboko, inabidi apelekwe secondary kabisa.
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nachingwea: Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu wapewa siku 3 kujieleza kwa kukwamisha ujenzi wa Bweni tangu 2017

    Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amewaagiza kuandika maelezo ndani ya siku tatu mkuu wa shule ya sekondari ya Nachingwea Mwalimu Longinus Nambole na Afisa elimu sekondari ya kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa bweni la...
  4. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Hili la Ukosefu wa Ajira tatizo lilianzia hapa kwenye D2, wazazi tuwaambie vijana ukweli, vyuo vya ovyo ovyo elimu ovyo!

    Ndugu wazazi wenzangu wasalamu, Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii. Nitaeleza kidogo: Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Tumekuwa tukipiga kelele kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mfumo wetu wa elimu. Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na mitaala inayotumika kutowapa wanafunzi maarifa na uwezo wa kujitegemea baada ya kumaliza masomo yao. Cha kushangaza badala ya kuumiza vichwa kutafuta suluhu ya haya matatizo...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Elimu yetu

    Kuna suala ambalo linatakiwa lifanyike kwenye elimu ambapo lingemsaidia Mheshiwa Rais katika suala la kujenga nchi kwenye uchumi wa viwanda. Tunapojenga uchumi wa viwanda mtaala wa elimu unatakiwa kuwaandaa watoto kuja kuingia kwenye ujenzi wa uchumi wa viwanda. Hii itafanyika kama mtaala...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chaya: Elimu ya nadharia kwenye vyuo ndio inaleta changamoto ya ajira kwa Vijana

    Mbunge wa Manyoni Mashariki, Dk Pius Chaya (CCM) alisema tatizo la ajira kwa vijana wanaohitimu vyuo vya kati na vikuu nchini katika ngazi za cheti, stashahada na shahada ni kubwa. Dk Chaya alisema tatizo lipo si kwa sababu elimu ni mbovu, ila kutokana na mfumo wa elimu ambao mwanachuo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je, niwakati muafaka Marais kupewa elimu ya mambo ya usalama kiulazima?

    Nimekuwa nikifuwatilia kwa ukaribu sana matamko ya Marais na ufuwatiliaji wa mambo nakuja na hii mada kuuliza kama taifa kwanini isitungwe sheria itakayo mlazim Rais akiteuliwa lazima apate ilimu ya mambo yakiusalama ili imsaidie ktk kung'amua mambo. Unajuwa tuache masihara yapo matamko Rais...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu msingi Tandahimba amewahamisha walimu bila kuwalipa stahiki zao

    Ni mwanamama asiyezingatia wala kuheshimu sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi. Wiki iliyopita amewapatia barua za uhamisho walimu zaidi ya 30 wakihamishwa toka vituo vyao vya zamani kwenda vituo vipya vya kazi. Kati yao hakuna aliyelipwa stahiki zake zikiwemo posho ya usumbufu au ile ya...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa karne hii, je ni bado elimu ni ufunguo wa maisha

    Habari wanabodi! Bado najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu na majibu sipati. Nahisi wazee wa zamani waliturocha Leo hii namkumbuka Mr Yebo alishawahi "kuimba wazeee wa zamani mna......." "Wazee wazamani mli tu............" Je bado elimu ni ufunguo wa maisha,au pesa ndio imebaki kuwa...
  11. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma ya kuwekeza kwaajili ya elimu ya watoto?

    Eti wakuu, kuna huduma hiyo? Mfano unaweka 20 au 30 elfu kila mwezi kwaajili ya elimu ya mtoto hapo baadaye. Labda unaweka kwa miaka mitano au kumi. Ipo hivyo? Kama ipo pesa inakua kwa kiwango gani, yaani baada ya miaka kumi au mitano unakuwa na kiasi gani?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Corona Wabunge wetu mjitambue nyinyi ni wawakilishi wa Wananchi na sio wataalamu

    Nimesikiliza baadhi ya michango ya wabunge wetu juu ya Corona nikabaki na maswali mengi najiuliza hawa wanaongea bungeni kama watu gani? Anasimama mbunge bungeni anachangia mjadala kwa kuelezea Corona ni nini? Inasambaa vipi? na kibaya zaidi anahitimisha kwa kutoa wito kwa wananchi ni kitu gani...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeuharibu mfumo wetu wa elimu hadi tumefika hapa?

    Hebu jamani hivi kuna tofauti kubwa sana kati ya wazee wetu walioishia darasa la nane na hawa graduates wa leo wa chuo kikuu? Graduates hawajui Kiingereza wala Kiswahili fasaha. Uandishi wao na matamshi yao ni kichefuchefu. Ufanisi kazini ni sawa na sifuri, hivi ni vipi mfumo wetu wa elimu...
  14. maronyamuhanga

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ataenda Kidato cha Tano?

    Mdogo wangu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu amepata Kiswahili B English C Geography D History D Biology D Geography D Biology D Hesabu D he ataenda kidato cha tano?
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya elimu itolewe kwa wanafunzi wanaosomea fani za vitendo tu

    Kwa utafiti wangu wengi wasio na ajira ni wale waliosomea digrii za bla bla zisizo za vitendo mfano za sheria, Bussiness Administration, Uchummi, Uhasibu, Uandishi wa Habari nk. Serikali itoe mikopo kwa wanaosomea fani kama Engineering, Kilimo na Ufugaji, za Ujenzi na Uvuvi, Udaktari, Ufamasia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimekukomboa katika maisha tangu umalize elimu?

    Tangu umemaliza chuo ni kitu gani umefanya kimekukomboa katika maisha? Mimi ndo kwanza nmemaliza chuo. Hamna chochote nlichoanza kufanya but nafikiria kuanza biashara ya urembo. Kujua kupaka makeup na kuuza vifaa vya makeup. Kwahiyo kwa muda huu nasubiri maoni yenu ili tupeane moyo. Wewe...
  17. MANYORI Jr

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Waziri wa OR- TAMISEMI na Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) watumbueni Wakuu wa shule za sekondari mijini

    Ndugu wana Jf ,habari za wakati huu na hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2021.Nami pia ninawatakieni kheri ya mwaka huu! Hili ni chapisho langu la kwanza kwa mwaka huu 2021 tangu nilipoonekana humu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kama mada yangu inavyojibeba kupitia jina lake,ningependa...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar asema kuna haja ya kubadilisha sera ya Elimu ili iendane na mabadiliko yanayotokea

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuna haja ya sera ya elimu visiwani humo kuwa ya kisasa zaidi ili kuendana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea katika sekta hiyo. Dk Mwinyi amebainisha hayo leo alipokutana na wadau wa sekta ya elimu Mjini Unguja. “Baada ya kusikiliza maoni ya wadau...
  19. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiige mfumo wa elimu kama IST?

    Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary. A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tanzania katika communication skills. Nimefikiria na kujiuliza hivi kwanini serikali isijaribu walau kuiga mfumo wa shule walau katika...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Elimu: Hotel Desderia yatumika kufundishia Landscaping Ardhi University

    Hotel ya kisasa ya nyota 3 ya Desderia iliyoko Jijini Mbeya imejiongezea majukumu yake baada ya sasa kuanza kutumika kwenye masomo ya Chuo Kikuu nchi Tanzania. Pichani ni wasomi kutoka Ardhi University ya Dar es Salaam wakiwa na MD wa Hotel hiyo Mh Joseph Mbilinyi walipofika Hotelini hapo...
Back
Top Bottom