Je, huyu ataenda Kidato cha Tano?

maronyamuhanga

New Member
Jan 17, 2021
1
0
Mdogo wangu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu amepata Kiswahili B English C Geography D History D Biology D Geography D Biology D Hesabu D he ataenda kidato cha tano?
 
Mdogo wangu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu amepata Kiswahili B English C Geography D History D Biology D Geography D Biology D Hesabu D he ataenda kidato cha tano?
Sifa ni C tatu nakuendelea
Hana sifa
 
Atachaguliwa chuo ila private anaweza akasoma FORM V HKL MANA ANA DIV 3
Atasomaje kidato cha tano ilhali hana credits 3??

Ili mwanafunzi aweze kusoma kidato cha tano hata kama ni private, ni lazima awe na credits ( Alama C and above) zisizopungua 3.
 
Back
Top Bottom