elimu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kesi George Floyd: Inadhihirisha alivyosema Shaaban Robert kuwa Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki

    1. Defense wanajenga hoja, wana create doubt kuwa kwa vile Floyd alikuwa anatumia madawa ya kulevya na alikuwa na magonjwa ya moyo, basi kifo chake kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya ma magojwa ya moyo aliyokuwa nayo na siyo kukosa hewa kulikosababishwa na...
  2. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za...
  3. thebosskissima

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure juu ya maisha

    ! MJINGA ! Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa. Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga mzigo.... Kila hela atakayopata ataitunza kwa nidhamu kuu. Wafanyabiashara...
  4. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kuhusu elimu ya awali Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano Ninao ushauri mdogo kuhusu elimu yetu ya awali nchini. Kwanza niwapongeze sana TIE kwa miongozo sahihi nayakisasa ya namna ya kumfundisha mtoto, hasa baada ya kuleta mtaala mpya unaojenga UMAHIRI/COMPETENCE BASED CURRICULUM Shida iliyosalia nikwamba...
  5. Mwalimu-Mkuu

    JamiiForums Tanzania Maprofessa wetu tatizo ni elimu au vyuo walivyosomea?

    Kwa jina la Jamhuri salaam wana bodi, Tatizo ni nini wana jamvi? Kila ninapopata nafasi ya kumfatilia profesa na baadhi ya madaktari wanaofahamika ambao wengi wao wana nyadhifa mbalimbali hasa za kisiasa, nashindwa kuelewa kama ni wasomi au la! Unapata professa anatoa povu tu na haeleweki...
  6. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya hili

    Ndugu zangu, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, tokana na ukuwaji wa teknolojia ulivyo hivi sasa , Mimi pamoja na walimu kutoka katika shule mbalimbali bora Tanzania (Top 50 Schools) tumeshirikiana kwa pamoja na tumeanzisha mfumo muhimu/maalumu unao wawezesha wanafunzi wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha makato ya mikopo ya elimu ya juu kinakiuka sheria ya marejesho

    Ripoti ya CAG ya Mwaka 2019/20 imejibu kilio cha wanufaika wengi wa Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia (HESLB) Ripoti imebaini makato hayo ni makubwa sana na yanavunja Sheria ya Marejesho
  8. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kuelekeza kero ya namna ya ukusanyaji kodi, Lakini sijasikia kero ya Bodi ya Mikopo wa Elimu ya Juu

    Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016. Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu mwenye Phd anatumbuliwa, iwe fundisho kwa wenye viburi vya elimu

    Kuna watu wanaamini kuitwa Dr au Prof ndo wamesoma na wana suluhu ya matatizo ya Dunia. Wanasahau kwamba hizo elimu siyo uwezo wa kudeliver. Natabiri muda wowote kuanzia Sasa wenye dharau kwa sababu ya Phd wataanza kurudi vyuoni. Waliaminishwa kwamba wizarani na kwenye taasisi nimaeneo ya...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Mtaala wa Elimu Tanzania

    NYUMA YA MTAALA WA ELIMU WA TANZANIA Naomba nianze na ile salamu yetu ya " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee". Leo tarehe 6/4/2021 nimefarijika sana baada ya kusikia kauli muhimu " tendo uneni" kutoka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan...
  11. yuda75

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara kutokana na elimu na ngazi mbali mbali je wewe upo wapi

    TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh...
  12. balimar

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Shukia: Elimu Bora ni zao la Walimu bora

    Nimesoma hii kitu ya Mwalimu Richard Yesaya Shukia, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu Dar es Salaam imenitafakarisha sana 1. Niungane na watanzania wenzangu kwanza; kukupa pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Rais John Pombe Magufuli; pili NIKUPONGEZE kwa kuwa Rais wa Tanzania wa awamu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Taletale: Nilimwambia Rais Magufuli (RIP) nina elimu ya Masters!

    Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters. Source...
  14. Regent

    JamiiForums Tanzania Program ya elimu kusaidia watoto wetu: Nataka mwalimu mmoja wa kushirikiana nae kusaidia jamii/watoto

    Nina program moja ya kuisaidia jamii hususani watoto katika sector ya elimu, inahusu kuandaa Handouts/Notes katika mfumo wa Vitini. Sifa ya vitini 1) Simplified...ili mwanfunzi asiwe bored kujisomea 2) Well analyzed...Mwanafunzi aweze kuelewa Hesabu ~Kitini kimoja tutauza (1000 to 1500)Tzs...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rastafari na elimu

    Hivi ni kwanini Serikali na jamii isiruhusu watu wa jamii ya Rasi (Rastafari) kuruhusiwa kusoma na nywele zao hasa katika ngazi ya elimu ya chuo? Waruhusiwe kusoma na kupractise medicine ( Udakitari wa Binadamu).
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa Nchi ya Ufini unavyolifanya Taifa hilo kuwa bora katika elimu Duniani; Tanzania inajifunza nini?

    Nchi ya Ufini (Finland) ni Nchi mojawapo kati ya Nchi zilizopo upande wa Kaskazini wa Ulaya inapakana na Sweden Norway na Russia. Nchi hii ina ukubwa wa kilomita a mraba 338,455 km². Inakadiriwa uwa na idadi ya watu milioni tano na laki tano (5.5 mill). Mji wake Mkuu unaitwa Finish Nchi...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
  18. captain 21

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu yetu

    Huwa najaribu kutafakari, kuongezeka kwa wahitimu hasa wa elimu ya juu ambao hawana ajira (kuajiriwa/kujiari). Kunatoa picha gani kwenye ubora wa elimu yetu kwenye kupunguza kiwango cha umasikini hasa kwa wahitimu wanaotoka kwenye familia duni?
  19. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Likizo Geresha ya Pasaka

    Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada". Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Elimu bure iondolewe, watu waanze kulipa Ada

    ELIMU BURE IONDOLEWE, WATU WAANZE KULIPA ADA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Hakunaga kitu cha bure kikawa na thamani, sijawahi kuona popote pale tangu nimezaliwa; hivyo ndivyo naweza anza makala hii. Kitu cha thamani lazima kigharamiwe, na uthamani wa kitu upo kwenye gharama. Kusema elimu iwe...
Back
Top Bottom