Unapoongoza watu ambao wanakuzidi elimu kuna changamoto yake, unakuwa hujiamini, unakuwa mwoga na hatimaye kushindwa kufanya maamzi sahihi.
Ifike mahala wafanyakazi waliojiendeleza kielimu wapewe ukuu wa idara.
Mfano:
1- Walimu Wakuu wa shule za musingi wawe na elimu ya degree, wenye degree...
KENYA ABDALLAH HASSAN KATIBU MKUU WA KWANZA MUISLAM WIZARA YA ELIMU AMEFARIKI
Kenya Abdallah Hassan nimemfahamu toka utoto wangu Moshi katika miaka ya 1960.
Siku hizo mimi nikiwa shule ya msingi madarasa ya chini sana yeye alikuwa Mawenzi Secondary School.
Kenya alikwenda Makerere, Uganda...
Gazeti la Mwananchi liliripoti kuwa shida ya Shule ya Msingi Toangoma ni uchache wa madrasa na wingi wa wanafunzi ambao automatically inakuwa ngumu kwa walimu kudhibiti tabia za wanafunzi.
Since tatizo ni wingi wa wanafunzi kwa upande mmoja ambapo, mwanafunzi sio mkosaji in the first place...
Wasalaam,
Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika?
Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu...
Habari wakuu!
Naomba kujua shule ya serikali nzuri ya msingi inayofundisha wanafunzi wenye ulemalevu wa akili Mkoa wa Mwanza. Ikiwa ya boarding itapendeza zaidi.
Asanteni.
Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam
You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky.
Although there are...
Habari za muda huu watanzania wa humu JamiiForums.
Mdogo wangu aliwahi kuniambia, asilimia kubwa ya wahitimu wa elimu ya juu wanaohudhuria "Graduation Ceremony" ni wale wenye GPA za chini. Was he right?
Mwaka wa 2017 nilipata fursa ya kuhudhuria mahafali ya wahitimu wa elimu ya juu pale chuo...
Elimu uliyonayo sio kwa ajili ya kusaidia jamii, asije akakwambia mtu 'umemaliza elimu yako sasa itumie kusaidia jamii' mambo hayaendi kwa namna hii.
In capitalist era, kitu chochote utachofanya hakikisha kinakufaidisha wewe mara zote angalia mazingira yatakufaidisha vipi wewe na si mwengine au...
Habarini za humu ndugu zangu,
Naitwa Deus graduate wa diploma ya udactari wa mifugo (Ordinary diploma in animal health and production), nimehitimu mwaka 2019 katika chuo cha mifugo LITA TENGERU ARUSHA (Livestock training agency- TENGERU).
Baada ya hapo nimekuwa nikijitolea kutibu mifugo...
Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa?
Sadiki na Chitemo
Bwana Sikuelewi
Muwa uliozamisha meli
Hawafu mwenye nguvu
Muwa uliozamisha meli
KAMA UNATAKA MALI UTAYAPATA SHAMBANI
Na vitabu hivyo ni darasa la 3 na 4 lakini hadi leo TUNAVIKUMBUKA...
Wananchi Wilayani Kasulu mkoani Kigoma wanaendelea kuchangishwa Madawati mashuleni, baadhi ya wananchi wenye wanafunzi katika shule ya Msingi kidyakidyama wilayani Kasulu wamesema nini maana ya Elimu bure huku wengine wakidai ni wajibu wao.
Mimi nashauri pengine neno Elimu bure libadilishwe...
Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa, imani. Yaani vyote vilikuwa vya kishenzi.
Mtoto wa Mchungaji sielewi.
Sote ni mashahidi wadau.
Zamani familia au ukoo au kabila likikazania elimu kwa lengo la kuoata mafanikio kupitia elimu njia ilikuwa imenyooka kabisa.
Kuna hata makabila fani akili za darasani ziliwabeba kweli na kurundikana kwenye vitengo kwasbababu walikuwa na vyeti na sifa.
Ila kwa hali...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.
Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni.
Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata...
Wadau wa JF na Wazalendo,
Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni.
Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango...
Hello JF,
i guess kwa sasa elimu inayotolewa Tanzania ime base sana kwenye vitu general....
Ndio maana inaibua wahitimu ambao hawawezi kujiajiri ......
Wangesoma kwa kutumia mazingira yetu, wageweza kujua jinsi ya kutumia fursa zilizopo katika mazingira yetu na kuzitumia
Mfano mimi huwa...
Habari ndugu zangu, kwa jina naitwa Mkogoti ni mzaliwa wa mkoa wa Mara nina shida na Ajira, yani natafuta kazi ama kibarua maana sina Elimu yoyote ya kuniajiri ofisini.
Maisha ni magumu sana kwa upande wangu MUNGU ndo anajua ninavyopitia sina maneno mengi ya kusema ila niseme tu.
Natafuta...
Nimepigwa na butwaa kusikia Waziri wa Afya akisema kuwa matamko juu ya Covid 19 basi. Maana viongozi wakuu wameshatoa matamko sasa kila mtu achukue wajibu wa kujilinda.
Hivi hili gonjwa linahitaji matamko au elimu endelevu na kukumbusha wananchi kuwa makini mara kwa mara?
Wewe kama waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.