Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 258
- 566
Tangu umemaliza chuo ni kitu gani umefanya kimekukomboa katika maisha?
Mimi ndo kwanza nmemaliza chuo. Hamna chochote nlichoanza kufanya but nafikiria kuanza biashara ya urembo. Kujua kupaka makeup na kuuza vifaa vya makeup.
Kwahiyo kwa muda huu nasubiri maoni yenu ili tupeane moyo.
Wewe unafanya kitu gani kujikomboa?