dunia

  1. J

    JamiiForums Tanzania Trump: We will be back in some form

    Hakika madaraka ni matamu sana. Katika hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani Trump ameaga na kuwaahidi Wamarekani na dunia kwa ujumla kwamba atarejea kivingine soon. Hakika Tanzania tuna utaratibu mzuri wa kuachiana madaraka kwa heshima. Maendeleo hayana vyama!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Joe Biden pengine utajenga mahusiano mazuri na Dunia

    Kuapishwa kwa Joe Biden kama Rais wa Marekani leo kumefuatiliwa na wananchi wa dunia na pengine imefurahiwa na wengi kwa vile walio wengi wanatarajia mabadiliko ya utekelezaji wa sera za Marekani kuhusu Afrika na mataifa mengineyo hususani ya nchi zinazoendelea. Ni ukweli usiopingika Triump...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama huwajui hawa, fahamu kuwa bado hujaingia dunia ya kidigitali. Africa must grow again.

    Kumbe imawezekana Afrika tukaanzisha au kupromote vitu vyetu. Chini ni picha 2 za watu 2 tofauti like African comedians zilizo bamba sana.
  4. Traveller_mona

    JamiiForums Tanzania Kipi kimejaza dunia kwa wingi Kati ya mimea na wanyama

    Heshima kwenu wakuu! awali ya yote ni kwamba duniani kuna vitu ambavyo vinaonekana na vile ambavyo havionekani(holybooks). Katika upande wa vitu ambavyo vinaonekana kuna vitu vingi nadhani kuna wanyama, mimea bacteria na n.k Lakini ambavyo labda vinachukua nafasi kubwa kiumbo kuna mimea na...
  5. Heci

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchungaji Owdencalm Mpayo afariki dunia

    Mchungaji Owdencalm Mpayo amefariki dunia alasiri ya leo katika hospital ya Rufaa Mbeya alikokuwa amelazwa kwa ajili ya matibu. Wakati wa uhai wake, Mchungaji Owdencalm Mpayo aliwahi kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa kiroho. Mchungaji Owdencalm Mpayo ameshawahi kuwa Mkurugenzi wa...
  6. Gama

    JamiiForums Tanzania Usalama wa dunia na usalama wa USA ukoje baada ya Trump kuondoka ikulu na nuclear football?

    Trump amegoma kushiriki hafla ya kumuapisha mfuasi wake. Hafla hiyo, pamoja na Mambo mengi, anatakiwa kukabidhi nuclear football kwa Rais mpya. State imeridhia aondoke nayo kwakuwa itakuwa de activated. Najiuliza; Hivi nchi nyingine hawawezi kuiba hiyo tech kwa kutumia diactivated device, vipi...
  7. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wewe uliyenirudishia shilingi 10 badala ya jero nakwambia hii dunia ni ndogo sana

    Tutaonana tu 😡😡
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

    Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake. Amina
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Katika dunia ya sasa ambayo watu huweza kujuliana hali kwa njia ya simu/mitandao, muheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically" Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anaitwa Adonijah yeye alikuwa anatufundhisha somo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa dola za Kimarekani Mil 425, kuboresha Elimu ya Juu Tanzania ili kuleta Mabadiliko ya Kiuchumi

    Salaam Wakuu, Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa: Mkenya ateuliwa kusimamia taasisi ya kimataifa ya GESCI (Global e-Schools and Communities Initiatives)

    Ndio kama hivyo, mpo? Kila tukigeuza anateuliwa Mkenya. ======== Prof Emmanuel Mutisya has been appointed as the Board Chairperson of Global e-Schools and Communities Initiatives (GESCI). Prof Emmanuel Mutisya has been appointed the Board Chairperson of Global e-Schools and Communities...
  12. martinezstavo

    JamiiForums Tanzania Ni vipi kama haya maisha tunayoishi ni ndoto

    Asalaam wakuu, Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto Katika maisha yangu...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dunia itakuwaje ikiwa Trump akiingia msituni kwa kutokubaliana na mambo yanayotokea Marekani?

    Polisi imethibitisha kuwa mwanamke mmoja aliyepigwa risasi wakati wa vurugu zilizotokea baada ya wafuasi wa Trump kuvamia bunge, amefariki dunia kwasababu ya majeraha aliyopata. Bado maafisa hawajataja jina la mwanamke huyo lakini polisi wanasema alikuwa raia wa kawaida. Aidha, mtu mwingine...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wakati dunia inapigana na ukatili kwa watoto ikiwemo viboko mashuleni, Tanzania ukatili wa watu wazima unafanyika hadharani

    Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani...
  15. BAK

    JamiiForums Tanzania Bado Dunia ina watu wema sana

    Bado dunia ina watu wema hata kama ni wachache. Jana nilielezea kisa cha Jaji mmoja ambaye alidai mwenye bahati kushikana mkono na mimi. Ni kauli kubwa sana kuambiwa toka nizaliwe. Hadi nikatamani nijipitishe pale "Central" wanikamate kwa uchochezi halafu kesi apelekewe yule Jaji 🤣 Siku moja...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  17. King Kong III

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

    Umuofia Kwenu wana JF, Kheri ya Mwaka Mpya! Mtoto wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rose Nyerere amefariki leo mjini Dar es Salaam. Taarifa za duru za uhakika zinaarifu kuwa Rose amefariki katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam ambako alilazwa kwa muda mrefu. Bwana alitoa...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Unajua ni kwa nini wayahudi wengi sana matajiri sana dunia nzima? Watanzania tuwaige

    Sio rahisi sana kumkuta myahudi maskini ni vigumu mno sababu zake hizi hapa watanzania tuwaige
  19. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sajenti Mbavu Moya katika Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI)

    Nyarugusu, Tanzania Source : Tanganyika TV VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA April 14, 2020 SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa...
  20. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur an nchini Senegal afariki dunia.

    Kwa mujibu wa taarifa, Shaykha Maryam Niasse alifariki Jumamosi katika mji mkuu wa Senegal, Dakar. Shaykha Niasse ambaye alikuwa maarufu kama ‘Mhudumu wa Qur’ani’ alianzisha Kituo cha Elimu ya Qur’ani cha Shaikh al-Islam Hajj Ibrahim Niasse huko Dakar mwaka 1984. Kituo hicho sasa kimanzisha...
Back
Top Bottom