Usalama wa dunia na usalama wa USA ukoje baada ya Trump kuondoka ikulu na nuclear football?

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Trump amegoma kushiriki hafla ya kumuapisha mfuasi wake. Hafla hiyo, pamoja na Mambo mengi, anatakiwa kukabidhi nuclear football kwa Rais mpya. State imeridhia aondoke nayo kwakuwa itakuwa de activated.

Najiuliza; Hivi nchi nyingine hawawezi kuiba hiyo tech kwa kutumia diactivated device, vipi Russia

===========

Trump will take nuclear football out of DC on his final day in office - and the codes will be deactivated at the stroke of noon​

Graeme Massie
Sat, 16 January 2021, 3:21 pm

<p>Trump will take nuclear football out of DC on his final day in office </p> (Olivier Doulier - Pool/Getty Images)

Trump will take nuclear football out of DC on his final day in office (Olivier Doulier - Pool/Getty Images)

Donald Trump will get to take the nuclear football with him when he leaves Washington DC on his final day in office – but the codes will be deactivated at the stroke of noon.

Mr Trump will be accompanied by the 45-pound briefcase when he flies to Florida on the morning of Joe Biden’s inauguration, as he is reportedly expected to do.

But the nuclear codes that accompany it will stop working as soon as Mr Biden is sworn in as his successor 1,000 miles away on Wednesday.

Military officials will have a nuclear football ready and waiting to accompany Mr Biden after he becomes the commander-in-chief, officials told CNN.

Mr Trump has also reportedly not made up his mind if he will continue the tradition of writing a letter to leave for his successor in the Oval Office’s Resolute desk.

The outgoing president is expected to be at his Mar-a-Lago estate in Florida or nearby golf course when his term in office officially ends, reports CNN.

Mr Trump wants to hold a departure ceremony at Joint Base Andrews on the morning of Joe Biden’s inauguration before flying to Florida, say reports.

The ceremony may include a colour guard and even a 21-gun salute, officials told USA Today. And there may also be a red carpet and a military band, according to The New York Times.

Mr Trump, who was impeached for an unprecedented second time on Wednesday, is expected to leave the White House for a final time early on inauguration day rather than attend the ceremony.

He will become the first president to snub his successor’s inauguration since the 1860s, but vice president Mike Pence has said he plans to attend.

Traditionally, the outgoing president has met with the incoming first family at the White House before the inauguration.
Read More

Trump supporters among those seeking Jan. 20 protest permits
 
Vice President Mike Pence has said he plans to attend.
Pence ni Hazina kwa Republican. Anaandaa mazingira ya 2024.

Democratic wajipange kupambana na Pence.

Na kama atapambana na Kamala Harris ( kama ikitokea Biden akastaafu Kwasababu ya umri ) atashinda maana ukiangalia siku ile ya Debate kati ya Pence na Kamala utaona kabisa Pence alimmudu Kamala kikamilifu.
 
Hiyo kitu hakai nayo mtu mwingine zaidi ya Rais. Kila anapokuwa Rais nayo ipo.. so siku hiyo mzee baba anakuwa kasepa.. lazima imfate tu.. huyu mwingine itabidi wampe ingine.. trump mda wake ukikoma atawapa dubwasha lao
Huenda ametumwa mtu ampelekee kama shukran
 
Hiyo kitu hakai nayo mtu mwingine zaidi ya Rais. Kila anapokuwa Rais nayo ipo.. so siku hiyo mzee baba anakuwa kasepa.. lazima imfate tu.. huyu mwingine itabidi wampe ingine.. trump mda wake ukikoma atawapa dubwasha lao
Mwenzetu huyu, kagoma kulitoa
 
The nuclear football is a briefcase, the contents of which are to be used by the President of the United States to authorize a nuclear attack while away from fixed command centers, such as the White House Situation Room. It functions as a mobile hub in the strategic defense system of the United States.

Hii ni kama remote.
 

Ingekuwa hivyo angechaguliwa tena bali kapigwa chini kwa kishindo 306 to 232 bado analia lia tu kafungua kesi 62 mahakamani kudai kaibiwa kura bado akapigwa chini. Mpuuzi tu huyo na si ajabu jela inamsubiri the next 24 to 36 months.
Trump anawachemsha akili, kaona wanakaa kizembe zembe sanaaa
 
Kwa maana hiyo polisi wa Marekani hawana nguvu ya kumny'anganya hicho kidude?
 
Back
Top Bottom