Kama huwajui hawa, fahamu kuwa bado hujaingia dunia ya kidigitali. Africa must grow again.

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,127
Kumbe imawezekana Afrika tukaanzisha au kupromote vitu vyetu. Chini ni picha 2 za watu 2 tofauti like African comedians zilizo bamba sana.
2665375_JamiiForums1892500456.jpg
15e21934c3e41c3.96815000.jpg
 
Huyo Dogo kwny picha ya chini ametrend Afrika kuliko Trump Marekani na Ulaya.
 
Nilivyosoma kichwa cha uzi nikafikiri waafrika tumetengeneza gari linalotumia maji, au kuna kitu kikubwa kwenye teknolojia tumefanya, kumbe in komed.
 
Back
Top Bottom