Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
Zimbabwe wamesalimu amri rasmi, sasa wanarudisha mashamba ya Wazungu waliyoyanyang'anya Miaka 20 iliyopita.
So Mjulisheni Magufuli kuwa anachokijaribu hapa wenzake wamekijaribu na kimewashinda, mjulisheni maana haya mambo ya Kimataifa huwa yanampita hana habari; Kabudi naye yupo kakodoa Macho...
Ni huzuni & majonzi
Ameumaliza mwendo
Kazi ya Mungu Haina makosa
Mshiriki, Mzee wa Kanisa na Muinjilisti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mjini Kati Arusha
Alishiriki vema akitoa Zaka na Sadaka
Aliishi vizuri sana na washiriki Wenzake
Alikuwa Mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu...
Mwanasiasa mkongwe na mfanyabiashara maarufu Turk wa Zanzibar afariki dunia.
===
Mheshimiwa Salim Hassan Abdullah Turky, afariki dunia usiku huu akiwa hospitali ya Tasakhta global chanzo cha kifo chake inadaiwa kuwa aliugua ghafla. Swala ya maiti itafanyika leo Alasiri September 15 katika...
WAPENZI wawili waliokuwa tayari kufunga ndoa katika eneobunge la Bura, Kaunti ya Tana River walilazimika kusitisha harusi yao baada ya mwanamume kujitokeza ghafla harusini akidai yeye ni baba yao.
Anne Magwi na Jotham Munini, watoto waliolelewa na wazazi wa kambo, walikuwa wamefika kanisani...
Nimesikia hotuba ya Gwajima akimtaja Bi Kidude kwa namna ya dharau na kutompa heshima yake.
Bibi huyu alikuwa na historia kubwa sana na mpaka sasa ipo, na hakuna anayeweza kuivunja,walau kwa sasa. Mpaka wasanii wa bongo fleva walikuwa wanapigana vikumbo kuomba kuimba naye,marais walimpa heshima...
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.
Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa...
Ni ukweli usiopingika kizazi cha viongozi wa kidunia na marais wa nchi kubwa duniani kimebadilika sana.
Tukianza na Katibu Mkuu wa UN ni kama amepoa sana na taasisi yake imekosa mashiko.
Tukija kwa Taifa la Marekani nalo sera zake za nje zimekosa meno kabisa kutokana na Rais wao Trump...
Kila mahali ni hofu!!
Someni hii tweet hapa chini ya DarmpyaBlog:
"MASAHIHISHO
Kufuatia taarifa ya mgombea ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya, iliyoripotiwa na vyombo vya habari ikiwemo DARMPYA ikionesha jimbo hilo hakuna diwani wa CHADEMA aliyewekewa pingamizi, tunapenda kusahihisha...
Wakati hapa nyumbani kundi la wagombea wa kiume limepita bila kupingwa huku wanawake wakiendelea na uchaguzi na wengine kuenguliwa, kule Rwanda Rais Kagame amemteua mwanamama kuongoza idara ya Intelejensia ya nchi hiyo.
Wanaume tukiendekeza kitonga akina Ummy ndio watakaobeba mikoba siku za...
UTAJIRI WA DUNIA UPO HAPA
Je, unajua kuwa wawekezaji waliowekeza kwenye teknolojia ya mawasiliano wana utajiri mkubwa. Kwenye teknolojia ya Mawasilianao ni kati ya Maeneo nyeti yanayo aminika kuwa na utajiri wa ajabu sana japo inahitaji kujitoa na kujituma ili ufanikiwe katika uwekezaji wako...
Hili pambano naona ndilo pambano kali kuliko yote uliyowahi kushuhudia duniani. Kama una roho ndogo usiangalie tafadhali.
Rumble in the Jungle ilikuwa moja ya wakati muhimu katika historia ya ndondi. Pambano kati ya Muhammad Ali na George Foreman lilifanyika Oktoba 30, 1974 huko Kinshasa...
Dr. Shika Hatunaye tena!
Aliyewahi kuvuma kwa umaarufu katika mnada wa kununua nyumba za Lugumi!
Amefariki hivi punde huko mkoani Mwanza baada ya kuugua kansa kwa mda mrefu!
Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe!
Taratibu za mazishi zitatolewa baadae!
Hapa chini ni Sauti ya...
Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi.
Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo...
Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
Hebu tuachane na mambo ya uchaguzi na corona kwanza. Tu refresh ubongo kidogo
Kama dunia yetu hii tunayoishi ingekuwa ni kama vile KIKUNDI CHA WHATSAPP (WHATSAPP GROUP) je ni nani (anapaswa/angepaswa )kuwa admin wetu?
Angalizo: Mambo ya dini yasihusishwe
Tujadili sisi kama sisi ambao tupo...
Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga
Mzee Moyo ambaye pia ni Waziri Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa pia Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar
Inna lillah wainna ilayhi...
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu.
Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
Zifuatazo ni picha zikionyesha muonekano wa mt Kilimanjaro ukiwa nchi ya Kenya mbuga inaitwa amboseli, hizi picha zinapatikana kwenye tovuti yao yao ya matangazo kwa uelewa wangu mdogo tumeshindwa hata kuweka haki miliki?
Kumbuka watalii wakiwa mbuga ya Amboseli wana uwezo wa kuangalia wanyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.