Kipi kimejaza dunia kwa wingi Kati ya mimea na wanyama

TRAOMY

Member
Jan 11, 2019
60
125
Heshima kwenu wakuu!

awali ya yote ni kwamba duniani kuna vitu ambavyo vinaonekana na vile ambavyo havionekani(holybooks). Katika upande wa vitu ambavyo vinaonekana kuna vitu vingi nadhani kuna wanyama, mimea bacteria na n.k

Lakini ambavyo labda vinachukua nafasi kubwa kiumbo kuna mimea na wanyama (binadamu tupo hapa kwa sababu ni mammals).
wakuu kwa kifupi nadhani nimeeleweka kidogo, sasa Kati ya wanyama na mimea ni kipi kimejaza dunia kwa kiasi kikubwa?

Wakuu niwatakie jioni njema!
 

alubati

JF-Expert Member
May 29, 2016
3,564
2,000
Mimea, hivi msitu wa Amazon pekee unaweza kuwa na miti mikubwa na midogo mingapi? Au sijaelewa swali?
 

Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
7,152
2,000
Kwenye hao wanyama, hv ad virusi vya ukimwi na Corona tunawajumlisha?

Mimi nadhani wanyama ndio wako wene.
 

Okimangi

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,141
2,000
Mimi ni mtafiti mzuri wa ecolojia na biolojia ya viumbe hai yan living organisms. Between animals and plants balances the nature with others environmentals factors e.g abiotic factors such as soil lithospheric, hydro water, air atmos.

CONCLUSIONS NI KWAMBA
plants ambao ni mimea ipo mingi kuliko wanyama sababu inaeza kuwa mimea inawapatia wanyama na binadamu wote chakula kwa njia yake ya photosynthesis. Mimea inajitengenezea chakula kupitia JUA, The natural satelite.

Bila mimea maji water hayawezi patikana.

NADHANI NIMEELEWEKA MKUU.

Science ina proof no siasa.
 

Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
9,179
2,000
Mimea ndio mingi mara elfu kadhaa kuliko wanyama.

Swali lako liwe limelenga wanyama tu na sii samaki wala wadudu!
 

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,791
2,000
Mmh mimea ndiyo imejaza mkuu! Imagine kuanzia nyasi hadi mboga mboga kama kabichi 😒!bado miti mikubwa kwa midogo! Maua nk.
 

Okimangi

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,141
2,000
Huu uzi watu wanasema bila ushahidi wa kimahesabu, hii haisadii kwa aliye uliza swali.
 

Okimangi

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,141
2,000
Unakula vegetables kila siku!matumizi ya miti(mbao)nk! hamna binadamu asiyetumia mimea kwa namna yoyote na bado iko pale kutuaccomodate wote mkuu. Huo ni ushahidi tosha.
Sawa mzee mama sasa uko sawa kabisa, pia soma majibu yangu hapo juu nimecomment wewe
 

mazojms

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
1,366
2,000
Unaposema wingi unamaanisha biomass au individual organisms?

Either way mimea ipo kwa wingi maradufu kuzidi wanyama.

- Imagine mnajimu aliye kwenye base station iliyo nje ya dunia anaona kijani cha mimea.

- Imagine kwenye food chain mimea ipo chini kabisa, yani viumbe wote duniani wanategemea mimea.

Hence proved
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom