dunia

  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Dunia inasimama Yanga tumelipiza kwa kupiga kwenye chembe ya Moyo

    Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison. Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza sababu kisasi ni Sunna. Tutapiga kwenye chembe ya moyo. SUBIRINI MAMBO YANAKUJA MUDA SI MREFU...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona. Sasa iambie dunia kuwa Tanzania sasa ni salama

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona, sasa tumia ile ile pia kuiambia dunia kuwa Tanzania sa

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mjiulize kwanini mnatengwa na dunia hata kwenye misiba, japo mnapenda kuililia Kenya

    Kwenye msiba wa mzee Mkapa, kwa majirani zenu wote, Burundi tu ndiye alijitutumua kutuma ujumbe, sisi Wakenya tulituma japo ikasemekana mliwafukuza na kusingizia hali ya hewa, Malawi hakuja mtu, Zimbabwe hakuja mtu, Zambia kimya, Mozambique wala hata mmoja, Rwanda ndio chali kabisa, Bakongo/DRC...
  5. Mtini

    JamiiForums Tanzania Watalii wa kimarekani kuanza kumiminika Tanzania? Maamuzi ya Wizara ya Utalii tuliyoyabeza kuanza kuzaa matunda?

    Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Watu 10 wafariki dunia baada ya boti kuzama ziwa Tanganyika

    Watu Kumi wamefariki dunia na wengine 87 wameokolewa baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupigwa na dhoruba na kuzama katika ziwa Tanganyika. Mkuu wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye Amethibitisha. Taarifa zaidi zinakuja....
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

    Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko. Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa. Wananchi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alizaliwa Masasi, Mtwara 12/11/1938 alisoma Shule ya Msingi Ndanda kisha shule ya Sekondari Pugu, Dar 1962 alipata shahada ya kwanza katika Lugha ya Kiingereza kutoka ktk Chuo Kikuu cha Makerere Uganda 1963 alipata shahada ya uzamili katika masuala ya...
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Leo imedhihirika kuwa bila CCM imara Tanzania itayumba. Tanzania kwa takribani wiki nzima imesimamishwa na Uchaguzi wa CCM

    Kwa kweli yaliyofanyika kuanzia Uchaguzi wa kuwapata wagombea Urais kule Zanzibar kuanzia ile tarehe 8 mpaka leo nchi yetu imesimama kwa maana ya uwazi wa mchakato wa uchaguzi ulivyokuwa Haijawahi kutokea popote Duniani kwa chama chochote tangu kuumbwa kwa Dunia kuwa na mvuto kama wa CCM mwaka...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

    Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia. Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani...
  11. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii maarufu wa vichekesho Kenya Jina Papa Shirandula aaga Dunia, corona yahusishwa

    Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji. TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa Shirandula" has died in Nairobi. His brother-in-law Rowland Wanyama, told the Star that the actor...
  12. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Calvin Maimu afariki dunia

    Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Ndugu Calvin Maimu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Tarehe 17/07/2020 katika Hospital ya Hindu Mandal Jijini Dar e Salaam. Mfanyabiashara huyo mkubwa alikuwa akijishughulisha na mradi wa kuuza Matrekta maarufu Dodoma kama Kilimo kwanza maeneo ya Ndejengwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

    Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi. Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania JaJi Bongole Afariki Dunia akiwa Kazini: Umejifunza nini kwenye kifo chake?

    Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Ukizaliwa binadamu kwenye hii dunia basi huna bahati, utajiri sio suluhisho la kudumu

    Ukizaliwa binadamu, ujue mateso, umaskini, njaa, kuumizwa kihisia, magonjwa ndo yanakusubiri. Ukiwa tajiri kuanzia kuzaliwa hadi kufa kwako basi kama una dhambi, jehanamu ya moto inakusubiri ili uchomeke milele. Haya mateso tunayopitia hapa duniani naona kama hayana ulazima, kwa sababu kama...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kombe la Dunia 2022 kuchezwa mwezi Novemba na Desemba badala ya Juni na Julai

    MICHUANO YA KOMBE LA DUNIANI 2022 KUFANYIKA MWEZI NOVEMBA NA DESEMBA Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa michuano ya kombe la Dunia 2022 inayotarajiwa kichezwa nchini Qatar inatechezwa kati ya mwezi Novemba na Disemba. Katika taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo leo mechi ya...
  17. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

    Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank. Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012. Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtoto wa Nelson Mandela, Zindzi Mandela (59) afariki dunia

    Kituo cha SABC kimeripoti kifo cha mtoto wa Nelson Mandela na Winnie Madikizela-Mandela, Zindzi Mandela (59) kilichotokea asubuhi ya leo jijini Johannesburg Kwa mujibu wa SABC, taarifa ya kifo imethibitishwa na familia. Hata hivyo, chanzo cha kifo hicho bado hakijawekwa wazi Zindzi ambaye ni...
  19. L

    JamiiForums Tanzania “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaihimiza dunia kuongeza ushirikiano katika kukabiliana na changamoto

    Julai, 11 ya miaka 15 iliyopita ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 600 tangu mwanabahari maarufu wa China Zheng He aanze safari yake baharini kwa kuongoza kikosi kikubwa cha marikebu katika Enzi ya Ming ya China mapema ya karne 15. Katika safari zao baharini mara 7, Zheng He na kikosi chake...
  20. kitonsa

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mchunaji Morris Cerullo wa Marekani, afariki dunia akiwa na miaka 88

    Mtumishi wa Mungu Mmarekani wa Makanisa ya Kikristo (Wapentekoste), Morris Cerullo amefariki dunia siku ya Jumamosi Amezaliwa 2 Oktoba 1931 Passaic, New Jersey, Marekani. Na amefariki 10 Julai 2020. Bwana ametoa na Bwana ametwaa World-renowned evangelist Morris Cerullo passed away on July...
Back
Top Bottom