Trump: We will be back in some form

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,963
141,963
Hakika madaraka ni matamu sana.

Katika hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani Trump ameaga na kuwaahidi Wamarekani na dunia kwa ujumla kwamba atarejea kivingine soon.

Hakika Tanzania tuna utaratibu mzuri wa kuachiana madaraka kwa heshima.

Maendeleo hayana vyama!
 
Trump aliwatala wajinga,lakini asingetoboa kwa nchi makini.

Yawezekana akarudi kwani ubongo wa mabunge hayo ya Marekani unashindwa na akili ya mtoto mchanga wa Japan.

Kazi kukimbilia kulaumu nchi za kigeni, lakini China nayo imewawekea vikwazo akina Pompeo na kuwadhalilisha kama vidudu mtu.

Ujinga aliofanya Trump kwa miaka minne umefuta historia ya mafanikio ya demokrasia ilioduma zaidi ya miaka 200.
 
Trump amesikika akitamka maneno haya 'We will be back in some form ' wataalam wa Mambo ya siasa maneno haya Yana ujumbe gani msaada kwa alieyaelewa maneno haya
 
Wewe Bavicha ni mbishi sana!
Nyie CCM ni mabingwa wa uwongo, tunaanzaje kuwaamini kirahisi hivi?
  • Mliahidi million hamsini kila Kijiji hamkupeleka
  • Mliahidi maisha Bora kwa kila Mtanzania, Hadi leo mmeshindwa kusambaza maji safi na salama
  • Mliahidi laptop kwa kila Mwalimu, hamjawahi kuwapa, sanasana tunaona walimu wakicharazwa bakora na viongozi wa CCM
  • Mliahidi boti ya kasi kutoka Dar kwenda Bagamoyo, mkawapa wajeda
  • Ahadi zenu na maneno yenu 99% ni uongo
 
"Hakika Tanzania tuna utaratibu mzuri wa kuachiana madaraka kwa heshima"......Kuna siku utakuja hapa kuikana kauli yako hii kama Zuzu!
 
6486122.jpg
 
Siku tukiwa na tume huru na matokeo ya urais kupingwa mahakamani ndio utaelewa kama utaratibu wa Tanzania wa kuachiana madaraka ni mzuri au la.
 
Hakika madaraka ni matamu sana.

Katika hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani Trump ameaga na kuwaahidi Wamarekani na dunia kwa ujumla kwamba atarejea kivingine soon.

Hakika Tanzania tuna utaratibu mzuri wa kuachiana madaraka kwa heshima.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni mpuuzi tena mbuzi kabisa.
 
Back
Top Bottom