martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 736
- 1,547
Asalaam wakuu,
Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu
Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto
Katika maisha yangu nimekuwa na tabia kadhaa ambazo zinanifanya nisiyafurahie kabisa maisha
Ni mgumu kuzoeana na watu, hii hali nikonayo tangu utoto nimekuwa nikiishi na watu wachache kwenye maisha yangu kwa kuwa sina uwezo was kuvuta watu na kuwaweka karibu yangu, watu wachache nilionao pia hupungua kadri umli unavyoongezeka.
Nina dharau, hii tabia ya dharau huwa naambiwa na watu ambao huwa wanakuja maishani mwangu na kisha tunashindwana tabia na kupishana mitazamo, ilhari Mimi huwa najitahidi nisiwakwaze lakin mala nyingi hujikuta tunaishia humo
Nachagua sana aina ya watu wa kuwa nao karibu na nnapogundua kasoro kwa MTU huyo niliyemchagua basi siwezi kumvumilia huwa najiweka mbali nae bila kumwambia kitu
Katika maisha yangu hutamani kuwa na wadada wazuri pisi Kali lakini huwa nkimuona mwanamke mpaka nimwambie nn kilichopo moyoni mwangu huwa ni kipengere kigumu sana yaani ni kama kwenda kimara kutokea mbezi mwisho baada ya kupita morogoro road bac mi napitia goba makabe bunju nakuja tangi bovu ubungo manzese kigogo tabata kinyerezi apo sasa naitafuta bonyokwa pengine kimara yenywe nisifike nikageuza.
Natafuta pesa lakini nikifikilia matumizi yake ukiachana na kupata basic needs basi huona pesa ni ubatili mtupu japo nazitafuta kwa hasira zote.
MTU anapomkandamiza MTU kumpokonya haki yake, MTU kuteseka na maisha magumu huwa vinaniumiza sana roho yangu inafikia muda huwa hataa kama nnapesa ambayo nnampango nayo kutoa ili MTU atatue shida yake na mipango yangu kuwa suspended kwa kipindi.
Huwa sipendi watu au MTU anionee huruma au kusaidiwa hichi kitu kimepelekea hata nikiumwa huwa sitoi taarifa kwa watu wangu, pia huteseka kutatua changamoto zangu ngumu bila kuwashilikisha watu mpaka wajue wenyewe na hata wakijua huwaambia kuwa kila kitu kipo sawa.
Sipendi kuishi karibu na watu (uswahilini) au n awaswahili wale wanaofatiliaga mambo ya watu. Natamani miaka ijayo ntafute poli au msitu nijenge huko nilime nifuge na ndo yawe maisha yangu (bila kutumia pesa)
Wasalaam