dunia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani jifunzeni kutumia unyanyasaji mnaofanyiwa kwa faida yenu - tumieni mahabusu kwa kuhamasisha maelfu kukamatwa dunia yote ione!

    Mara nyingine ili Magufuli na serikali yake waelewe kwamba wanafanya unyanyasaji usiokubalika kwa vyama vya upinzani, inatakiwa vyama vya upinzani waje na namna ya kutumia unyanyasaji huo kwa faida yao wenyewe. Wafuasi wa vyama vya upinzani wanapaswa kuelewa siku zote wale wanaopigania haki zao...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    Kawaida ya dunia baada ya kama miongo kadhaa lazima iingie kwenye reset mode, pale ambapo kunakua na maafa makubwa na maangamizi kila mahali, hii huwa haikwepeki, corona imeanza kwa kubip ila ndiko tunakokwenda, India na China waanza chokochoko na ikumbukwe wote wawili ni wababe wa nyuklia...
  3. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ruja, mwanamama aliyewatapeli watu pesa yenye ukubwa wa nusu ya bajeti ya Tanzania na kupotea kwenye uso wa Dunia

    Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inaenda kasi sana...

    Wallah wacha nilale kimsingi nimechoka aswa aswa baada kuinywa hii beer ya Kijapan 😫 😫 😫 😫 😫
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  6. HIMARS

    JamiiForums Tanzania IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

    Kama inavyojieleza hapo ======= IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3...
  7. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

    Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia. === Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo. Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo...
  8. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa! Leo tena...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Cameroon: Mwandishi wa Habari adaiwa kufariki dunia mikononi mwa polisi, Shirika la RSF lataka uchunguzi binafsi kufanyika

    Shirika la Reporters Without Borders (RSF) limesema Samuel Wazizi ambaye alikamatwa Agosti 02,2020 kwa madai ya kukosoa Mamlaka za Serikali amefariki dunia Taarifa ya RSF imesema siku tano baada ya kukamatwa, Wazizi alihamishwa Kituo na kuanzia siku hiyo familia na wanasheria wake hakuruhusiwa...
  10. ngoshwe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu Wabunge walioaga Dunia?

    Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Dunia ni ndogo kaka

  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Imetosha, hakuna haja ya silaha mpya maana za sasa tu zikitumika dunia itafubaa

    Hapa nazungumzia weapons of mass destruction Kwa sasa silaha zilizopo zinatishia hali ya usalama wa dunia nzima endapo zikitumika hasa na watu wenye nia ovu. Silaha zikiendelea kuzinduliwa nahisi siku ikitokea hata ugomvi wa russia na china basi bara lote la asia linaweza kumeguka
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM ijikite kwenye Siasa ya uchumi iachane kushughulikia hawa akina CHADEMA maana wameshajifia, Uchumi wa dunia unadorora!

    Kwa ukubwa wa kiumri na majukumu iliyoyonayo CCM si haki wala wajibu kutumia muda wake mwingi kushughulikia vyama vidogo vidogo vya upinzani mfano wa Chadema na ACT wazalendo. Ifike wakati sasa CCM ijikite kushughulikia maswala makubwa ya uchumi katika level ya taifa na ile ya mtu mmoja mmoja...
  15. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maajabu 7 ya dunia

    Mara nyingi watu husikia mara kwa mara kuhusu maajabu 7 ya Dunia, ila wengi wao hawajui ni yapi. Basi tuwe pamoja katika kuyaelezea tupate kuyafahamu vizuri.. Maajabu hayo ni kama yafuatayo: 1: Piramidi za Giza (Misri ya Kale) 2: Mabustani ya Semiramis (Babeli) 3: Hekalu ya Artemis mjini Efeso...
  16. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Marekani kutengana na WHO kutaathiri Afya ya Dunia

    Ujerumani imekasirishwa na uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump wa kukata mahusiano na shirika la afya ulimwenguni WHO ikiielezea hatua hiyo kuwa na muvunja moyo na inayorudisha nyuma afya ya dunia. "WHO inahitaji kufanyiwa mageuzi kama linataka kuleta maadiliko yoyote" aliandika Waziri wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inatutizama tunavyochezea Demokrasia

    Tangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa. Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika...
  18. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Dunia inashuhudia Tanzania ikionesha maajabu!

    Tanzania inaendelea kuishangaza dunia kwa maajabu yanayofanyika tokea kuzuka kwa Ugonjwa wa Covid-19! Chini ya Rais wake John Pombe Magufuli: Tanzania ilikataa kwenda Lockdown. Tanzania ilikataa kufunga mipaka kuhofia Uchumi kuporomoka. Tanzania ilikataa kufanya vipimo vya Covid-19 kwa kudai...
  19. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mwanamziki miaka ya 70 ilikuwa ni Dunia nyingine kabisa

    Leo nimekumbuka hali ilivyokuwa katikati ya miaka ya 70 wakati huo ambapo tayari nilikuwa mmoja ya wanamuziki kwenye kabendi ketu kadogo ka pale Iringa mjini. Kabendi kalikoitwa Iringa Jazz band lakini kutokana na mtindo wetu tuliouita Chikwala Chikwala, bendi iliishia kuitwa Chikwalachikwala...
  20. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Paka Oscar alias Unsinkable Sam, aliyenusurika kifo mara tatu wakati wa vita vya Dunia

    Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu. Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka ana roho saba ilianza kwa paka OSCAR. Kwenda JKT tu kwa vijana sasa ni mbinde. Kuna njemba moja...
Back
Top Bottom