dunia

  1. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mama mzazi wa Tuly Nasa (Kada wa Chadema aliyefariki wiki iliyopita) naye afariki dunia

    Chadema inatangaza msiba wa mama mzazi wa Tuly Nasa aliyekuwa kada wa Chadema ambaye kwa sasa ni marehemu aliyezikwa wiki iliyopita. Msiba umetokea leo alfajiri. Wiki iliyopita mama huyo alikuwa mzima na alishiriki mazishi ya mwanaye huyo wa kike. Picha mama mwenye nguo nyeupe (ambaye...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa uamuzi wa kijasiri. Wewe ndiye Rais bora dunia nzima

    Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga la corona akasikia, hatupaswi tena kurudi nyuma. Sasa sio wakati wa kuomba tena au kulialia ni wakati wa "Kumshukuru Mungu kwa kuliponya taifa wakati ule na sasa". Tusiyumbishwe na Maneno. Nimefuatilia Watanzania wengi sana wanapenda kufa. Yaani mchana...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa. Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua...
  4. Kennedy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

    Mwandishi mkongwe wa habari za mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia kwa changamoto ya upumuaji huko Morogoro Hospitali ya Rufaa Mwandishi Vedastus Sungu alikuwa akipatiwa tiba kwenye Hospitali ya SUA, hali yake ilipozidi kuwa tete sana akahamishiwa Hospitali ya Rufaa Morogoro ward number...
  5. DAGAA WA MWANZA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa Pia soma > Wasifu/ CV ya Maalim Seif Sharif Hamad, Historia yake kwa Ufupi Kupitia ukurasa wa...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda kwa kasi sana, unaweza kusaga mahindi nyumbani bila kwenda mashine

    Wale wanaowekeza kwenye mashine za kusaga nafaka. Matumizi yatakua ni kusaga unga mwingi labda kwaajili ya taasisi au mikusanyiko ya watu. Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani unaweza kusaga unga wako nyumbani.
  7. chrome

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

    Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar. Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
  8. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Usipofikira mara juu ya picha hii, Jijue wewe ni kivuli tu dunia hii.

    Note: Elimu ni BURE na Kiswahili ndio uzalendo kwa nchi yetu. ========= Anyway, watawala wanahitaji watu wa aina 2 tu. 1. Wanaopiga kazi na kulipa kodi. 2. Watiifu. Usihangaike sana na masuala ya elimu Kwasababu wala hayahitajiki kwenye vibarua vyetu vya kubeba zege, kuuza mabanda...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuifuate dunia kwenye kupigana na Covid 19

    Tanzania sio kisiwa, tunahitaji nchi nyingine kwenye mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na michezo, na kiusalama. Kwakuwa Tanzania ni sehemu ya dunia, Afrika, SADC, na Afrika Mashariki basi kinachoikumba dunia, Afrika na East Afrika pia kinaikumba Tanzania na utatuzi wake lazima...
  10. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

    Mwanazuoni nguli Profesa James Lwelamira amefariki dunia leo asubuhi ktk hospital ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma ambapo alikuwa akipatiwa matibabu. Chanzo cha kifo taarifa ya daktari bado haijatoka.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hakimu Godfrey Mwambapa afariki dunia

    Aliyekuwa Hakimu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na baadaye kuhamishiwa Mtwara, Geofrey Mwambapa amefariki Dunia. Hakujatolewa taarifa zaidi za ugonjwa wake wala hospitali aliyofia Pumzika kwa amani =========== Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake aliyekuwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

    Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Chang'ombe. Padri Boyo amefariki leo tarehe 10 Februari 2021 saa...
  13. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliopitia na tulipo leo dunia inatuonaje?

    Maana maelfu walimwamini huyu mzee. Kuna mwenye mrejesho kwamba mzee hakuwa tapeli na watu walipona.
  14. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

    Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi. Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10, mwaka huu katika Hospitali ya Mlonganzila, alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Zaidi. soma: Thomas...
  16. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

    Kwa masikitiko makubwa sana Ndugu yetu Wakili Msomi Geofrey Noah amefariki dunia leo hii jijini Arusha kwa tatizo la upumuaji. Mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa amani. Amina. Wakili Noah(Kulia) enzi za uhai wake akiwa na Wakili Olengurumwa Wakili Noah enzi za uhai wake
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA CHADEMA yapata pigo Dodoma, Kamanda Tully Nassa Kiwanga afariki dunia

    Apumzike kwa amani Lakini kwa vile kufanya kazi ya Chadema ni sawa na kutenda kazi ya Mungu , tunaamini Mwenyezi Mungu ataipokea roho yake mahali pema peponi , Amina .
  18. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa kesi ya kusafirisha walemavu, kuwatumia kuomba afariki dunia

    Dar Es Salaam. Mshatakiwa wa kwanza katika kesi ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, kukwepa kodi na kuisababishia hasara ya Sh31milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Sadikiely Meta(71) amefariki dunia katika Hospitali ya Temeke alikokuwa akipatiwa matibabu. Meta na wenzake...
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

    Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA. Habari za...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Kisembo afariki dunia

    PATRICK KISEMBO amefariki dunia Februari 8, 2021 katika Hospitali ya rufaa ya Kibaha. Kisambo amefanya kazi na vyombo kadhaa ikiwemo, The Citizen, The guardian hadi kufikia kuwa Mhariri. === In loving memory of our beloved Comrade, Friend and Colleague Patrick Kisembo. We Admins of this...
Back
Top Bottom