Kwa tuliopitia na tulipo leo dunia inatuonaje?

GOKILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
639
Reaction score
443
Maana maelfu walimwamini huyu mzee.

Kuna mwenye mrejesho kwamba mzee hakuwa tapeli na watu walipona.

FB_IMG_1612728929251.jpg
 
Ambilikile Mwaisapile, bigup babu nakumbuka ilikuwa majira ya saa 10 RFA walitanga kuwa kuna babu anatibu ukimwi na kuna nyomi la watu wanatililika kwenda huko

2011
 
Mshikaji yupo kimya sana, ina maana haoni covid
 
Kijijini kwetu kuna watu walienda na hawakupona. Huyu mzee inabidi ashtakiwe kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu.
 
Wakati ule kulikuwa na maandamano ya nchi nzima iliyoratibiwa na chadema na Dr.Slaa ,ilikuwa mbinu yaTISS kumaliza maandamano ikaanzishwa propaganda ya kwamba mzee anatiba ,watu wakaacha maandamano wakahamia kwenye kikombe
 
Sasa ndio hadi mkulu alitimba?
 
Back
Top Bottom