dunia

  1. Cannabis

    Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  2. HIMARS

    IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

    Kama inavyojieleza hapo ======= IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3...
  3. JoJiPoJi

    Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

    Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia. === Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo. Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo...
  4. Mzalendo2015

    Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa! Leo tena...
  5. beth

    Cameroon: Mwandishi wa Habari adaiwa kufariki dunia mikononi mwa polisi, Shirika la RSF lataka uchunguzi binafsi kufanyika

    Shirika la Reporters Without Borders (RSF) limesema Samuel Wazizi ambaye alikamatwa Agosti 02,2020 kwa madai ya kukosoa Mamlaka za Serikali amefariki dunia Taarifa ya RSF imesema siku tano baada ya kukamatwa, Wazizi alihamishwa Kituo na kuanzia siku hiyo familia na wanasheria wake hakuruhusiwa...
  6. ngoshwe

    Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
  7. K

    Sheria inasemaje kuhusu Wabunge walioaga Dunia?

    Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba...
  8. Sky Eclat

    Kipanya: Dunia ni ndogo kaka

  9. sky soldier

    Imetosha, hakuna haja ya silaha mpya maana za sasa tu zikitumika dunia itafubaa

    Hapa nazungumzia weapons of mass destruction Kwa sasa silaha zilizopo zinatishia hali ya usalama wa dunia nzima endapo zikitumika hasa na watu wenye nia ovu. Silaha zikiendelea kuzinduliwa nahisi siku ikitokea hata ugomvi wa russia na china basi bara lote la asia linaweza kumeguka
  10. J

    CCM ijikite kwenye Siasa ya uchumi iachane kushughulikia hawa akina CHADEMA maana wameshajifia, Uchumi wa dunia unadorora!

    Kwa ukubwa wa kiumri na majukumu iliyoyonayo CCM si haki wala wajibu kutumia muda wake mwingi kushughulikia vyama vidogo vidogo vya upinzani mfano wa Chadema na ACT wazalendo. Ifike wakati sasa CCM ijikite kushughulikia maswala makubwa ya uchumi katika level ya taifa na ile ya mtu mmoja mmoja...
  11. WilsonKaisary

    Haya ndiyo maajabu 7 ya dunia

    Mara nyingi watu husikia mara kwa mara kuhusu maajabu 7 ya Dunia, ila wengi wao hawajui ni yapi. Basi tuwe pamoja katika kuyaelezea tupate kuyafahamu vizuri.. Maajabu hayo ni kama yafuatayo: 1: Piramidi za Giza (Misri ya Kale) 2: Mabustani ya Semiramis (Babeli) 3: Hekalu ya Artemis mjini Efeso...
  12. mkiluvya

    Ujerumani: Marekani kutengana na WHO kutaathiri Afya ya Dunia

    Ujerumani imekasirishwa na uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump wa kukata mahusiano na shirika la afya ulimwenguni WHO ikiielezea hatua hiyo kuwa na muvunja moyo na inayorudisha nyuma afya ya dunia. "WHO inahitaji kufanyiwa mageuzi kama linataka kuleta maadiliko yoyote" aliandika Waziri wa...
  13. M

    Dunia inatutizama tunavyochezea Demokrasia

    Tangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa. Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika...
  14. Mzalendo2015

    Dunia inashuhudia Tanzania ikionesha maajabu!

    Tanzania inaendelea kuishangaza dunia kwa maajabu yanayofanyika tokea kuzuka kwa Ugonjwa wa Covid-19! Chini ya Rais wake John Pombe Magufuli: Tanzania ilikataa kwenda Lockdown. Tanzania ilikataa kufunga mipaka kuhofia Uchumi kuporomoka. Tanzania ilikataa kufanya vipimo vya Covid-19 kwa kudai...
  15. John Kitime

    Kuwa Mwanamziki miaka ya 70 ilikuwa ni Dunia nyingine kabisa

    Leo nimekumbuka hali ilivyokuwa katikati ya miaka ya 70 wakati huo ambapo tayari nilikuwa mmoja ya wanamuziki kwenye kabendi ketu kadogo ka pale Iringa mjini. Kabendi kalikoitwa Iringa Jazz band lakini kutokana na mtindo wetu tuliouita Chikwala Chikwala, bendi iliishia kuitwa Chikwalachikwala...
  16. anonymousafrica

    Paka Oscar alias Unsinkable Sam, aliyenusurika kifo mara tatu wakati wa vita vya Dunia

    Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu. Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka ana roho saba ilianza kwa paka OSCAR. Kwenda JKT tu kwa vijana sasa ni mbinde. Kuna njemba moja...
  17. Mlendamboga

    TANZIA Simpasa Eliakim, Mwenyekiti wa kamati ya haki za Bunge 2000-2005 afariki dunia

    Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi na baadaye jimbo hilo kubadilishwa na kuitwa Momba Miaka ya 1995-2005 Eliakim Simpasa amefariki majira ya saa 7 mchana leo hii katika hospitali ya Mkoa wa Songwe. Simpasa ambaye aliongoza kamat ya Haki, maadili na Madaraka ya Bunge atakumbukwa namna...
  18. C

    Tanzania na Mungu wetu, dunia na taharuki zake

    Wananzengo uzi huu ni maalumu kwa maelezo ya picha bila maneno mengi. Kama una habari yoyote katika picha, tupia hapa bila kuandika maneno mengi. Comments ziwe fupi kama za Bujibuji
  19. Jile79

    Yafahamu magonjwa 20 ya mlipuko mabaya zaidi katika historia ya dunia

    Awali ya yote napenda kutoa pole nyingi kwa Watz walioathirika na hili gonjwa kwa namna moja ama nyingine huku wakiendelea kupambana na Ugonjwa wa Corona kila mtu kwa staili yake tukiwa tumepoteza mwelekeo hasa baada ya wataalamu na wanasiasa nchini kutofautiana katika mbinu za kukabiliana na...
Back
Top Bottom