TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,004
54,273
Mwandishi mkongwe wa habari za mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia kwa changamoto ya upumuaji huko Morogoro Hospitali ya Rufaa

Mwandishi Vedastus Sungu alikuwa akipatiwa tiba kwenye Hospitali ya SUA, hali yake ilipozidi kuwa tete sana akahamishiwa Hospitali ya Rufaa Morogoro ward number 4 mpaka umauti ulipomkuta.

====

Morogoro. Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha ITV mkoani Morogoro, Vedasto Msungu amefariki dunia leo jioni Jumatano Februari 17, 2021 katika hospitali ya rufaa Mkoa huo. Alilazwa katika hospitali hiyo jana Jumanne Februari 16, 2021 baada ya kupata tatizo la upumuaji.

Akithibitisha kifo hicho Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo Dk. Ritha Lyamuya amesema, Msungu aliyekuwa amejikita zaidi katika Uandishi wa habari za Mazingira,
msungu.jpg
1613645239722.png
1613645217365.png

Chanzo: Radio One.
 
IMG_20210217_182647.jpg

Mwandishi wa Habari wa vituo vya ITV/Radio One Vedasto Msungu amefariki dunia jioni hii saa 11 katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.

Source: ITV
 
Pole sana kwa wafiwa. Tunamshukuru sana Seif kwa kujitangaza mapema kuwa ana COVID na tayari naye kaenda zake na huyu ndiye alisalimiana na Stone Tangawizi kwa mateke. Stone Tangawizi yeye bado amekomaa kwamba ugonjwa huo ni hofu tu. Siku ukipiga hodi chumbani kwake ndipo atapata fahamu
 
Back
Top Bottom