Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amesema ukitumia vigezo vya dunia kutathmini hali ya maisha ya watanzania basi zaidi ya nusu ya watanzania ni mafukara wa kutupwa.
Lipumba amesema zaidi ya watanzania milioni 28 wanaishi kwa umaskini uliopitiliza.
Ramadhan Kareem!
Mama mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 10, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.
Msiba upo nyumbani kwa IGP Sirro, Masaki, Dar es Salaam.
Kati ya jambo ambalo Mungu...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
afya
barakoa
changamoto
chanjo
corona
covid
covid 19
covid-19
dunia
gani
kelele
maambukizi
magufuli
maisha
matibabu
rais
siasa
tanzania
ugonjwa
ukweli
upumuaji
uzalendo
viongozi
watanzania
wizara ya afya
Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo.
Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021.
Mwaka
Nchi
Kiongozi
Sababu
2021...
Maaskofu, Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho.
Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana.
Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri.
Hubirini...
Internet sio anasa, internet sio jambo la option, internet ni ulimwengu kama ulivyo ulimwengu wa kifizikia,
Watu waanasoma mtandaoni
Watu wanafanya biashara mtandaoni
Watu wanaburudika mtandaoni
Watu wanasoma mtandaoni
Watu wanapata taarifa mtandaoni
Watu wanajuliana hali na kuendeleza mambo...
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
Taj Mahal (Kiajemi تاج محل - tāj-maḥal, taji la mahali) ni jengo zuri la kaburi lenye umbo la msikiti mjini Agra (Uhindi). Mara nyingi huhesabiwa kati ya majengo mazuri duniani.
Taj Mahal.
Taj Mahal ilijengwa 1631 - 1648 kwa amri ya Shah Jahan aliyekuwa mtawala wa nasaba ya Moghul aliyetaka...
Kulingana na Takwimu za ubakaji kwa kila Nchi 2021(Rape statistics by country 2021). Takwimu zinaonesha kuwa inakadiriwa asilimia thelathini na tano 35% ya Wanawake Duniani wamepitia ubakwaji, jaribio la ubakwaji, au usumbufu wa kingono katika maisha yao.
Katika Nchi nyingi zinaweka taarifa za...
Rais wa zamani wa Madagascar Didier Ignace Ratsiraka amefariki akiwa na umri wa 84, rais wa nchi hiyo alitangaza.
"Jumapili tarehe 28 Machi, 2021, rais wa zamani, Admirali Didier Ignace Ratsiraka alifariki akiwa na miaka 84.
"Wamadagascar wamempoteza mzalendo," Rais Andry Rajoelina aliandika...
Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli
Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
Sina nia ya kukashfu wa kutukana kabila la mtu, ila hapa natoa mtazamo wangu mimi kama mtimawachi.
Tukija kwenye baadhi ya vitabu vya dini vinakiri kabisa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Tumeaswa kuwapenda wake zetu, mtume Mohammad ameonya kuhusu kupiga mke akaongeza kama ikibidi mpe pigo...
Mawakala wa mabeberu walikuwa wanajitahidi Sana kuiaminisha Dunia kuwa Watanzania wako kwenye mateso Sana chini ya utawala wa Rais Magufuli. Waliamini watanzania walio wengi watafurahi Sana na kushangilia Magufuli atakapoondoka madarakani au atakapofariki.
Kinyume chake mabeberu na mawakala wao...
Mume wa Rais ni mtu wa muhimu sana katika jamii, kama alivyo mke wa Rais. Katika dunia ambayo bado ni mfumo dume, mume awe tayari kukutana na changamoto katika jamii.
Ninakumbuka wakati wa G8 summit, mume wa Angela Marckle alijikuta akiongozana na wake wa Marais katika kutembela shughuli za...
Habari JF..
Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.
Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?
Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.
Je, wanakwama wapi?
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Padri Cephas Mgimwa amefariki leo katika Hospitali ya Teule ya Tosamaganga Iringa
Makamu Mkuu wa Chuo amesema katika tangazo la kifo kuwa taarifa za siku na eneo ambalo atazikwa zitatolewa
Habari zenu nyote,
Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine...
Kijiji cha Kibutzi Sasa kule Israel kilikuwa na familia 100 tu mwaka 1949 mwaka aliozaliwa mzee wangu. Leo hii jamaa wa Kibutzi Sasa ndio wanamiliki kampuni kubwa inayozalisha magari ya Deraya na ulinzi wa watu binafsi duniani.
Akili ni mtaji na umoja ni nguvu.
Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti.
Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau.
Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.