dunia

  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Bado Dunia ina watu wema sana

    Bado dunia ina watu wema hata kama ni wachache. Jana nilielezea kisa cha Jaji mmoja ambaye alidai mwenye bahati kushikana mkono na mimi. Ni kauli kubwa sana kuambiwa toka nizaliwe. Hadi nikatamani nijipitishe pale "Central" wanikamate kwa uchochezi halafu kesi apelekewe yule Jaji 🤣 Siku moja...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  3. King Kong III

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

    Umuofia Kwenu wana JF, Kheri ya Mwaka Mpya! Mtoto wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rose Nyerere amefariki leo mjini Dar es Salaam. Taarifa za duru za uhakika zinaarifu kuwa Rose amefariki katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam ambako alilazwa kwa muda mrefu. Bwana alitoa...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Unajua ni kwa nini wayahudi wengi sana matajiri sana dunia nzima? Watanzania tuwaige

    Sio rahisi sana kumkuta myahudi maskini ni vigumu mno sababu zake hizi hapa watanzania tuwaige
  5. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sajenti Mbavu Moya katika Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI)

    Nyarugusu, Tanzania Source : Tanganyika TV VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA April 14, 2020 SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa...
  6. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur an nchini Senegal afariki dunia.

    Kwa mujibu wa taarifa, Shaykha Maryam Niasse alifariki Jumamosi katika mji mkuu wa Senegal, Dakar. Shaykha Niasse ambaye alikuwa maarufu kama ‘Mhudumu wa Qur’ani’ alianzisha Kituo cha Elimu ya Qur’ani cha Shaikh al-Islam Hajj Ibrahim Niasse huko Dakar mwaka 1984. Kituo hicho sasa kimanzisha...
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Yupi kati ya hawa ambaye ameitikisa dunia?

    Habari wadau! Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike? Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele, Maradona, Michael Jackson, Michael Jordan,CR7 ,Messi n.k? Je, yupi ambaye unaweza sema hakika huyu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli asilimia kubwa ya watu mashuhuri na matajiri kwenye hii dunia, utajiri wao sio wa halali au umetokana na mambo ya kichawi au Masonic?

    Bhasi habari za wakati huu wana JF wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha. Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas. Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kirusi akutwa akiwa amefariki dunia ndani ya hoteli Zanzibar

    Mambo ndiyo kama hivi wadau! ========== Bilionea wa Kirusi, Igor Sosin amefariki kwenye mapumziko mjini Zanzibar akiwa na mwanae wa kike, Taisia pamoja na mwanamke ambae hajafahamika. Hii ni miaka mitano tangu mtoto wake wa kiume, Egor alipomnyonga mke wake wa pili na waya wa simu mwaka 2015...
  10. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umasikini wakita mizizi zaidi Kenya: Taarifa ya Benki ya Dunia

    Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini hali UMASIKINI uliokita MIZIZI iko hivyo, ilhali nchi inajipambanua kuwa ni miongoni mwa nchi...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kufa imefanya dunia ianze safari ya kiama

    Utabiri wa mwisho wa dunia umetolewa miaka mingi na mbali mbali huko nyuma.Utabiri wa namna hiyo ulipita na kuondoka na baadae watu kurudi kwenye shughuli zao na starehe zao kama kawaida. Tangu kuzuka kwa corona binadamu wamepatwa na hofu iliyo kubwa kiasi kwamba wale waliozowea kuona dunia...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya Dunia: Mtu asiye na Kivuli, anayeweza kuwa sehemu mbili kwa wakati Mmoja

    Ni siku ya Pili sasa nipo Tanga na hapa leo nimekutana na jambo la kushangaza sana. Nikiwa nmepark gari wanaosha nikaona ni vyema nikae sehemu nipate Dafu pia na kubadilishana mawili matatu na wenyeki kwenye Bench wakicheza Draft. Hii dunia imejaa visa,mikasa,vioja na maajabau yake.kuna mambo...
  13. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Baba Askofu Jimbo Katoliki Tanga, Anthony Banzi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili

    Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwataarifu kuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Tanga Anthony Banzi afariki Dunia alfajiri ya leo Muhimbili National Hospital. RIP Askofu Banzi. Pumzika kwa Amani Baba Askofu Anthony Banzi Raha ya milele umpe eeh BWANA Na mwanga wa milele umuangazie Marehemu apate...
  14. Pekejeng

    JamiiForums Tanzania Kama Mwaka 2021 ukianza kwa Logan Paul kumshinda Floyd Mayweather Itabidi nikaishi dunia nyingine

    Hivi kweli huyu dogo wa 95 ambaye hata Wikipedia inamtambua kama You Tuber ndo wa kuweza kumshinda Legendari Mayweather? Kweli duniani inaenda kasi sana. Ngoja tusubiri japo nimefatilia baadhi ya mapambano yake nimeona yuko vizuri ila ningumu kuamini kama anaweza tunishiana msuli na FM.
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Liverpool (1998-2004), Gerard Houllier afariki dunia

    Mfaransa, Gerard Houllier aliyeiongoza Liverpool kutoka mwaka 1998-2004 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Houllier aliiongoza Liverpool kushinda mataji matano ikiwemo kombe la FA, Ligi na kombe la UEFA 2000-01. Nafasi yake ya mwisho kutumikia ukocha ilikuwa kwenye klabu ya Aston Villa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye Dunia ambayo watu wengi hawawezi kutumia akili

    Duniani watu wachache tu ndio wanatumia akili. Wengine mabilioni hawawezi tena kutumia akili katika kuishi. Kuna sababu kubwa moja kwanini mabilioni ya watu duniani hawatumii akili katika kuishi. Sababu hiyo ni hii: "watu wengi duniani wameharibu au wametumia vibaya miili yao". Watu wengi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tom Lister Jr ''Deebo'' afariki dunia

    Tommy lister maarufu kama DIBO is dead wengi tunamkumbuka kwenye movie ya Friday ya kwanza ya 1995 RIP DIBooo
  19. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

    Prof. Peter Msaki wa Nuclear physics amefariki dunia jana mchana. Kwa wale waliopitia Physics department Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanamjua jinsi alivyokuwa nguli wa fani hiyo
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu? Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
Back
Top Bottom