TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,263
9,883
Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi.

Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila shaka ndiye mmiliki wa Jengo la SS Concrete Pale Africana.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake karibu na Corner bar.

Mwili utasafirishwa kesho kuzikwa Moshi

RIP Mzee Ndossy
 
Ni huzuni Kwa wafanyabiashara Wenzie, Ndugu jamaa na marafiki. Amefariki Dunia Leo 10/2/2021 katika hospital ya Muhimbili alikokuwa anapatiwa Matibabu. Mtu Makini mpiganaji aliyejituma Kwa bidii kuondoa umaskini. Ni muuzaji maarufu wa Spareparts za Magari na tyres. Mwanga wa Milele aangaziwe na Raha ya Milele apewe astarehe Kwa amani.
 
Wanasema wataalamu hiyo variant ya South Africa haina chanjo mpaka leo SAA nane na dakika 55
 
Screenshot_20210210-140539.png
 
Back
Top Bottom