TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Nsoji go Nvaa

JF-Expert Member
Oct 15, 2019
760
1,444
Mwanazuoni nguli Profesa James Lwelamira amefariki dunia leo asubuhi ktk hospital ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.

Chanzo cha kifo taarifa ya daktari bado haijatoka.

12.jpg
 
Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Kwahio imeongezeka, pungua au ipo kama kawaida ? Huenda mwezangu una data za kutosha kwahio kabla sijakushangaa naomba unifahamishe, sababu mimi kwa akili ya haraka haraka hii miezi naona kama ni above average.
 
Back
Top Bottom