Sam Gidori
Senior Member
- Sep 7, 2020
- 165
- 414
Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo.
Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021.
Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021.
Mwaka | Nchi | Kiongozi | Sababu |
---|
2021 | Tanzania | John Magufuli | Ugonjwa wa Moyo |
2020 | Burundi | Pierre Nkurunziza | Mshtuko wa moyo |
2019 | Tunisia | Beji Caid Essebsi | Ugonjwa |
2014 | Zambia | Michael Sata | Ugonjwa |
2012 | Ethiopia | Meles Zenawi (Waziri Mkuu) | Ugonjwa |
2012 | Ghana | John Atta Mills | Kiharusi |
2012 | Malawi | Bingu wa Mutharika | Mshtuko wa Moyo |
2012 | Guinea-Bissau | Malam Bacai Sanhá | Ugonjwa |
2011 | Libya | Muammar Gaddafi | Kuuawa |
2010 | Nigeria | Umaru Musa Yar'Adua | Ugonjwa |
2009 | Guinea-Bissau | João Bernardo Vieira | Kuuawa |
2009 | Gabon | Omar Bongo | Mshtuko wa Moyo |
2008 | Guinea | Lansana Conté | Ugonjwa |
2008 | Zambia | Levy Mwanawasa | Kiharusi |
2001 | DRC | Laurent-Désiré Kabila | Kuuawa |
1999 | Niger | Ibrahim Baré Maïnassara | Kuuawa |
1998 | Visiwa vya Comoro | Mohamed Taki Abdoulkarim | |
1994 | Burundi | Cyprien Ntarymana | Kuuawa |
1994 | Rwanda | Juvénal Habyarimana | Kuuawa |
1993 | Burundi | Melchior Ndadaye | Kuuawa |
1990 | Liberia | Samuel Doe | Kuuawa |
1989 | Visiwa vya Comoro | Ahmed Abdallah | Kuuawa |
1987 | Burkina Faso | Thomas Sankara | Kuuawa |
1986 | Msumbiji | Samora Machel | Ajali ya Ndege |
1984 | Guinea | Ahmed Sékou Touré | Mshtuko wa moyo |
1981 | Misri | Anwar Sadat | Kuuawa |
1980 | Botswana | Seretse Khama | Saratani ya Ini |
1979 | Angola | Agostino Neto | Ugonjwa |
1978 | Kenya | Jomo Kenyatta | Mshtuko wa Moyo |
1978 | Algeria | Houari Boumediene | Ugonjwa |
1975 | Chad | François Tombalbaye | Kuuawa |
1975 | Madagascar | Richard Ratsimandrava | Kuuawa |
1970 | Misri | Gamal Abdel Nasser | Mshtuko wa Moyo |
1969 | Somalia | Abdirashid Ali Shermarke | Kuuawa |
1967 | Gabon | Léon M'ba | Saratani |
1963 | Togo | Sylvanus Olympio | Kuuawa |