Wandugu,
Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya Muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati wa uhai wake bwana Mzindakaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo kuwa mbunge wa Sumbawanga kwa...
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe...
Kwenye mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa uliofanyika Septemba 2020, Rais Xi Jinping aliushangaza dunia kwa kutoa ahadi kuwa China itafikia kilele cha utoaji wa carbon mwaka 2030, na kuanzia hapo itapunguza kiwango hicho hadi kufikia 0 mwaka 2060. Wataalamu wanakubaliana kuwa China ni moja...
Mama Vicky Nsilo Swai mwenye historia ya kuhifadhi nyumbani kwake viatu vya mpigania uhuru wa Afrika ya kusini hayati Rais Nelson Mandela mwaka 1962 amefariki dunia.
Pia soma
- https://www.jamiiforums.com/threads/vicky-nsilo-swai-i-kept-mandelas-boots-for-33-years.566731/
Rais wa kwanza...
Shirika la Fedha Duniani(IMF) limeandika muswada wa kuitokomeza kabisa COVID19 ambao utagharimu dola bilioni 50 sawa na Tsh. Trilioni 115.9
Imebainika kuwa hadi sasa ni 2% ya waafrika waliopata chanjo, ambapo nchi zilizoendelea zimetoa chanjo kwa watu wengi. ,arekani imeshatoa chanjo kwa 40% ya...
Tukiwa wadogo tulishika tofari mkononi tayari kwa kujitwisha kichwani safari kuanzisha.
Tulipita kwenye hii Hatua, ilikuwa ni kipindi tunatafuta Hela ya daftari na kalamu, uku mama akiwa mstari wa mbele kunipa Moyo.
Mwanangu utafanikiwa tu na wewe usijali, "soma mwanangu soma"
Na leo tupo...
Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia.
===
#ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife Mercy Mukuka Chama. Our thoughts and prayers are with Chama and Mukuka's family.
Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda.
=====
Mwaka 2019 Kapteni Mapunda ambae ni rubani mstaafu alitunukiwa tuzo na Rais Magufuli kwa uzalendo wa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika iliyokuwa Jumuiya ya...
Dola bandia zilizotumika kwa miongo miwili na kupumbaza dunia
Noti hiyo ya dola bandia haikuwa na makosa yoyote na hata maafisa wa kitengo cha ujasusi hawakuweza kubaini iwapo ilikuwa dola bandia ama nakala mbele yao.
Ni baada ya kipindi kirefu cha uchunguzi ndiposa waliweza kuthibitisha...
MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA NDIO UTAKAOHITIMISHA DUNIA.
Leo 11:15hrs 22/05/2021
Nianze kwa angalizo,ugomvi wa Palestina na Israel ni wa mapacha wawili toka wakiwa tumboni mwa Mama yao kabla ya kuzaliwa,Mapacha hao ni Esau na Jacob,sababu ya njaa Esau aliuza haki ya mzaliwa wa kwanza kwa...
Yeereeeeeh!
Mataifa ya kiarabu pamoja na Iran yamejitetea na kudai kukaa kwao kimya kwenye mzozo kati ya Israel na Hamas ni kwasababu wanataka amani itamalaki duniani.
Wanasema laiti wangeingilia kati sasa hivi kusingekalika na kuchimbika na Israel kufutika mara moja.
Sasa hivi wanamtumia...
Jenerali Tumainiel Kiwelu amefariki tarehe 18 Mei 2021 na atazikwa shambani kwake Mbezi Luis Dar es salaam tarehe 22 May 2021
Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.
Pia soma
- Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu
Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kuugua kwa muda mfupi:
Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo.
Katika kipindi chake, Bantu amekuwa...
Duniani kote hii ishu bado haijaisha. Ilifikiriwa juwa labda demokrasia itafanya watu wapewe vyeo vya kiasiasa kutokana na uwezo na si uzao wai lakini hili bado halijatokea.
Ukiangalia kwenye vyeo kuanzia ubunge, uwaziri, ukuu wa mikoa, wilaya nk utakuta kuna proportional kubwa sana ya uzao wa...
Habari wadau..!
Nimewaza hivi kwa nn dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea huko Gaza..?
Binafsi toka nazaliwa nimekuwa nikisikia Gaza mpaka nakuwa mtu mzima na watoto na watoto wanaelekea kupata nao watotot bado wimbo ni Gaza .
Je kwa nini dunia haitaki kabisa kujihusisha wala kutafuta...
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.
Idd Mubaraka.
Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa.
Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla...
Hatari ya anga za juu:Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote
Ulimwengu haupo salama. Licha ya kuanguka kwa njia salama kwa roketi ya China kutoka anga za juu na kuwapa watu wengi afueni, bado kuna hatari kwani kuna zaidi...
Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.