PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.

Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.

Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.

Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
 
We jamaa ni bogus sana unataka maisha gani sasa maisha ni haya haya , ko ulitaka miaka mitano tu ya magufuri akufanyiee nini zaidi ya alicho kifanya ina inawezekana ujaelewaa alichoo maanishaa.

Jamaa ametulia anaongea fact na reference, jamaaa ana akili sana, vile ndivyo msomi unatakiwa uwe, tundu anaongea pumba vitu bila reference bila evidence, anaongea hana quotation hata ya mtu mmoja msomi gani huyoo, anaulizwa can u give evidence to support wat u said magufuri died from covid, anatoa explanation baadala ya evidence, uko ubeligiji wame muaribu hadi akili kiasi kwamba lawyer mzuri kama yule anashindwa kutoa rational arguments zilizoshiba.

Afu kakaaa kinafiki nafiki tu , umbea umbea tu cjui anaanza kuleta personal issues za shaka, mara appriciation za kinafiki nafiki kimbea mbeaa be straight and comfidently kama lumumba.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata kama usiwe mbwa, lakini ukiwa jamii ya Paka utaendelea kuwatetea jamii yenzako mpaka mwisho.

Sikutegemea hata kidogo mtu aliyetoka Kenya kuja kusoma Dsm aiponde Tz.

Lakini kuthibithisha kuwa anawapaka Mafuta kwa mgongo wa chupa hao CCM, basi wamshauri aombe uraia wa Tz ili aje ayafurahie hayo maisha tuone km atakubali.

Eti wanasema maisha bila unafiki hayaendi, sijui wana maanisha nini!
 
We jamaa ni bogus sana unataka maisha gani sasa maisha ni haya haya , ko ulitaka miaka mitano tu ya magufuri akufanyiee nini zaidi ya alicho kifanya ina inawezekana ujaelewaa alichoo maanishaa...

Jamaa ametulia anaongea fact na reference , jamaaa ana akili sana , vile ndivyo msomi unatakiwa uwe, tundu anaongea pumba vitu bila reference bila evidence , anaongea hana quotation hata ya mtu mmoja msomi gani huyoo , anaulizwa can u give evidence to support wat u said magufuri died from covid ,, anatoa explanation baadala ya evidence , uko ubeligiji wame muaribu hadi akili kiasi kwamba lawyer mzuri kama yule anashindwa kutoa rational arguments zilizoshiba..

Afu kakaaa kinafiki nafiki tu , umbea umbea tu cjui anaanza kuleta personal issues za shaka, mara appriciation za kinafiki nafiki kimbea mbeaa be straight and comfidently kama lumumba .....

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu subiri kwanza umalize msiba. Hapa utakuja kupata sonona bure.
 
Basi Chadema watanyanyua hayo maisha mkuu, kwa TZ ya mwaka 90 ndio ya leo hii? Acheni upuzi kuna mabadiliko yametokea nchi hii
 
Kama umesikiliza mjadala wote,huwezi andika kwa kuquote katikati,hizo ni chuki.

Ungeweka maelezo yake yote.mbona kataja madhaifu na mazuri
 
We jamaa ni bogus sana unataka maisha gani sasa maisha ni haya haya , ko ulitaka miaka mitano tu ya magufuri akufanyiee nini zaidi ya alicho kifanya ina inawezekana ujaelewaa alichoo maanishaa...

Jamaa ametulia anaongea fact na reference , jamaaa ana akili sana , vile ndivyo msomi unatakiwa uwe, tundu anaongea pumba vitu bila reference bila evidence , anaongea hana quotation hata ya mtu mmoja msomi gani huyoo , anaulizwa can u give evidence to support wat u said magufuri died from covid ,, anatoa explanation baadala ya evidence , uko ubeligiji wame muaribu hadi akili kiasi kwamba lawyer mzuri kama yule anashindwa kutoa rational arguments zilizoshiba..

Afu kakaaa kinafiki nafiki tu , umbea umbea tu cjui anaanza kuleta personal issues za shaka, mara appriciation za kinafiki nafiki kimbea mbeaa be straight and comfidently kama lumumba .....

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mtoto wa kiume maemoji ya kucheka kibao.
 
Kama umesikiliza mjadala wote,huwezi andika kwa kuquote katikati,hizo ni chuki.

Ungeweka maelezo yake yote.mbona kataja madhaifu na mazuri
Mabaya yapi na mazuri yapi? Acheni kuangalia shilingi upande mmoja.
 
Basi Chadema watanyanyua hayo maisha mkuu,kwa TZ ya mwaka 90 ndio ya leo hii? Acheni upuzi kuna mabadiliko yametokea nchi hii
Chadema wanahusika vipi? Maisha yamebadilika kwa namna gani? Mbona umasikini umeongezeka?
 
Inawezekana wewe ndo mtu usieijua Tanzania

Ebu tutofautishie tz ya enz za mzee mwinyi na enzi za JPM
 
Mkuu ndio uhuru wa Habari na yeye ni Mtizamo wake kama na wewe unavyoona. Si lazima tufanane mitazamo. Uonacho wewe sicho mimi naona sawa.
 
Back
Top Bottom