Nini kitatokea siku ya mwisho kama binadamu wengine watakua nje ya dunia?

Forest Hill

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
1,855
3,488
Habari zenu nyote,

Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine watakua mars? Je Mungu ataangamiza sayari nyingine zaidi ya dunia? maana kwa mujibu wa mafundisho ya biblia, Mungu ataangamiza dunia(tu) na kila kilichomo maana dunia ndio sayari(pekee)iliyomkubali shetani

2 petro 3:10 "siku ya bwana itakuja kama mwizi siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu, vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake"
 
Povu litoke wapi,wakati huna ushahidi wa hiki ukichokiandika.

Sisi tunakupuuza kama hivi.
hata Mimi nawapuuza sana tu ukiambiwa uleta ushahidi juu ya uwepo wa mbingu na jehanamu utauleta?
Au na wewe mwenzangu umekaririshwa tu et ufanye mema uende peponi haaahaaahaa
Ila hizo hadith zenu zinanifurahishaga sana et kuna siku mtaenda kuenjoy mbinguni duniani sio kwetu hahaaahaaahaa

Wazee tambueni dunia ndo pekee binadamu tinapaswa kuwepo,hapa ndo kwetu we are son of earth there is no earth B
Ambayo mnaamini mtaenda huko siku moja toeni ujinga muione nuru aisee dunia ndo yetu tuitunze tuipende na tuiendeleze kwa faida ya vizazi vijavyo hio mbingu itabaki kua hadith za kujifariji tu!
 
Akili unazo kijana?????

Poa.
 
Huyo aliyekuwa nje ya dunia si alizaliwa duniani?

Sasa ikija amri ya Mungu kwamba viumbe vyote vya duniani vife..
Ni pamoja na hao walio nje ya dunia.

Hakuna atajayebaki hata ujifiche wapi..
 
Habari zenu nyote,

Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine watakua mars? Je Mungu ataangamiza sayari nyingine zaidi ya dunia? maana kwa mujibu wa mafundisho ya biblia, Mungu ataangamiza dunia(tu) na kila kilichomo maana dunia ndio sayari(pekee)iliyomkubali shetani

2 petro 3:10 "siku ya bwana itakuja kama mwizi siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu, vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake"
Vitu vyake vya asili vitateketea kwa Moto....
Hudhani kama hiyo Sayari ya Mars nayo ni Mali yake MUUMBA hivyo aweza iangamiza..!!
 
Back
Top Bottom