Profesa Lipumba: Ukitumia vigezo vya dunia nusu ya Watanzania (watu milioni 28) Wanaishi katika ufukara uliopitiliza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,913
141,863
Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amesema ukitumia vigezo vya dunia kutathmini hali ya maisha ya watanzania basi zaidi ya nusu ya watanzania ni mafukara wa kutupwa.

Lipumba amesema zaidi ya watanzania milioni 28 wanaishi kwa umaskini uliopitiliza.

Ramadhan Kareem!
 
Tangu Utandawazi umeingia na kuwepo kwa simu Smart phone za Mchina Maprofesa wetu wanaendelea kupoteza heshima zao kwani hawana jipya bado wanakuja na approach za kizamani.Huyu nae ni mmojawapo
 
Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amesema ukitumia vigezo vya dunia kutathmini hali ya maisha ya watanzania basi zaidi ya nusu ya watanzania ni mafukara wa kutupwa.

Lipumba amesema zaidi ya watanzania milioni 28 wanaishi kwa umaskini uliopitiliza.

Ramadhan Kareem!
na umepitiliza zaidi awamu ya tano !!
 
Back
Top Bottom