World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,090
2,000
Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank.

Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012.

Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni kwamba awamu ya 5 imekuwa ikizalisha Watanzania masikini badala ya kupunguza ambayo ni kinyume kabisa na trend ambayo awamu ya 4 ilikuwa inaenda nayo.

Kwa hiyo ni dhahiri kuwa kama nchi chini ya awamu hii ni kama tunatwanga maji kwenye kinu.

Watanzania tunapaswa kufanya maamuzi yenye tija October mwaka huu.

Tanzania - Mainland Poverty Assessment 2019 : Part 1 : Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth
This report provides a comprehensive analysis of poverty and inequality in Tanzania and identifies some priority actions if poverty is to be reduced. The analysis is contained in two parts.

The first part is based on the results of the Household Budget Surveys (HBSs) for 2017-18, 2007, and 2011-12; several rounds of National Panel Surveys (NPSs); and Demographic Health Survey (DHS) data; it also combines spatial information from the population census and other sources with HBS data to (1) provide a rigorous analysis of the evolution, profile, and determinants of poverty and inequality; (2) explore movements in and out of poverty and their drivers; and (3) examine the distribution of poverty and living conditions across the country at a detailed geographic level.

The second part examines the pattern of structural transformation, firm profiles, job creation, and financial inclusion using the rebased GDP figures released in February 2019 plus data from the Statistical Business Register (SBR), Census of Industrial Production (CIP), national accounts, NPS, Integrated Labor Force Surveys (ILFS), and other sources. Executive summary can be found here 431111575939381087/executive-summary

1594452600050.png

20200711_123812.jpg
20200709_082852.jpg
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,381
2,000
Unaujua mlipuko wa ongezeko la watu Tanzania? Bila kuingiza hilo takwimu,hizo takwimu ni hazina maana, kwa kifupi kulikuwa na watu wangapi TZ 2012 vs 2020?
 
kababu

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,550
2,000
ngoja waje akina bia yangu na team yake ya mapambio kuja kupinga...b7 fc mupoooo??? Au mnasoma na kupita kimya kimya ??
World Bank wanasema kabisa (because Tanzania population growth faster ) yaan ongezeko la watu linakuwa kwa kasi saana) hii inaanisha siyo kwamba umasikinibhaupungui tz ila watu wanazaa sana na wale wale 12m ndio wanaongoz kwa kuzaa hivyo lazima kuwe na ongezeko
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
25,784

Na anavyosemaga kila siku endeleeni tu kuzaana kumbe hua hafikirii impact yake kwny umaskini sio?
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,822
2,000
Wanazunguzia matajiri wa uzaji wa madawa ya kilevya, wawindaji haramu,wavuvi haramu, mafisadi na mawakala wa mabeberu ndio wamekuwa maskini sasa
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,090
2,000
World Bank wanasema kabisa (because Tanzania population growth faster ) yaan ongezeko la watu linakuwa kwa kasi saana) hii inaanisha siyo kwamba umasikinibhaupungui tz ila watu wanazaa sana na wale wale 12m ndio wanaongoz kwa kuzaa hivyo lazima kuwe na ongezeko
wewe kama una uwezo wa kulea watoto 2 halafu unazaa watoto 10 unategemea nini zaidi ya umasikini kwako mwenyewe?
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,193
2,000
Wanazunguzia matajiri wa uzaji wa madawa ya kilevya, wawindaji haramu,wavuvi haramu, mafisadi na mawakala wa mabeberu ndio wamekuwa maskini sasa
Kwenye report yao hawajaandika hayo. Wemebase kwa wananchi wakawaida in relation to ukuaji wa uchumi.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,381
2,000
kuzaana hovyo kama awamu ya 5 inavyopigia chapuo ni umasikini pia.
wewe una uwezo wa kulea watoto 2 lakini unazaa 10 unategemea nini?

Yea ni kweli, kwangu mimi Magufuli (na watangulizi wake) amekosea hapo, huwezi kupunguza umaskini bila ya kudhibiti ongezeko la watu bila ya mpangilio, huo ukuaji wa uchumi hautakuwa na maana yoyote kama kila mwanamke ana watoto 5.2 kwa wastani wakati kipato ni kidogo au hakuna kabisa, ...
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,090
2,000
Wanazunguzia matajiri wa uzaji wa madawa ya kilevya, wawindaji haramu,wavuvi haramu, mafisadi na mawakala wa mabeberu ndio wamekuwa maskini sasa
soma vizuri comrade... 2012 walikuwa 12M na mwaka 2018 wakafikia 14M.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom