Tanzia: Mchunaji Morris Cerullo wa Marekani, afariki dunia akiwa na miaka 88

kitonsa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
1,211
2,636
Mtumishi wa Mungu Mmarekani wa Makanisa ya Kikristo (Wapentekoste), Morris Cerullo amefariki dunia siku ya Jumamosi

Amezaliwa 2 Oktoba 1931 Passaic, New Jersey, Marekani.

Na amefariki 10 Julai 2020.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa

prjuniorbatista_20200712_1.jpg


World-renowned evangelist Morris Cerullo passed away on July 10 at the age of 88.

On Friday, Dr. Cerullo's family posted an urgent prayer request on Facebook, indicating that he was in the hospital.

"Dear Friends, we would appreciate your immediate prayers for Dr. Cerullo who is being treated for Pneumonia at the hospital. Please also pray for Theresa who has been working around the clock to assist in his care. She needs your prayers too for extra strength at this time. Thank you for all your thoughts and prayers for Morris and Theresa!"

Cerullo became a believer at the age of 14 and started preaching when he was 15-years-old.

The evangelist was called to international ministry and formed Morris Cerullo World Evangelism (M.C.W.E.) in 1961. In 2011, he launched the daily television show, "Victory Today" and he has written more than 200 Christian books.

Over the decades, Dr. Cerullo has ministered to presidents and prime ministers.

Cerullo shared the gospel of Jesus Christ in multiple countries across the world including Nigeria, Mexico, Brazil, The Philippines, Korea, Zimbabwe, South Africa, Kenya, Indonesia, and the Netherlands.

The evangelist received numerous awards and recognitions for being a crusader for Christ. In 2015, he received the prestigious Lifetime Global Impact Award in May 2015.

He is survived by his wife of 68 years, Theresa, his children, David Cerullo and Susan Peterson, 7 grandchildren, and 9 great-grandchildren.

Please keep the Cerullo family in your prayers during this difficult time.

World-Renowned Evangelist Morris Cerullo Passes Away at 88
 
Apumzike kwa amani mtumishi huyu wa Bwana.

Hapa mwishoni hapa naye alijiingiza kwenye hii injili ya mafanikio (prosperity gospel) ya akina Cleflor Dollar, Joel Osteen, Jesse Duplantis, Ron Pasley na akina Kenneth Copeland + other gospel crooks. Nilikuwa namuona usiku wa manane na akina Mike Murdock akijaribu kuaminisha watu kuwa ukipanda mbegu ya $1,000 basi utabarikiwa sana mpaka ushangae.

Anyway kazi ameimaliza. Ni wakati wa mapumziko sasa
 
Apumzike kwa amani mtumishi huyu wa Bwana.

Hapa mwishoni hapa naye alijiingiza kwenye hii injili ya mafanikio (prosperity gospel) ya akina Cleflor Dollar, Joel Osteen, Jesse Duplantis, Ron Pasley na akina Copeland + other gospel crooks. Nilikuwa namuona usiku wa manane na akina Mike Murdock akijaribu kuaminisha watu kuwa ukipanda mbegu ya $1,000 basi utabarikiwa sana mpaka ushangae.

Kazi ameimaliza. Ni wakati wa mapumziko sasa
mwingira naye yupo karibu naye sana anamletaga kibaha ,kunakuwa na kambi ya kila mwaka
 
Apumzike kwa amani mtumishi huyu wa Bwana.

Hapa mwishoni hapa naye alijiingiza kwenye hii injili ya mafanikio (prosperity gospel) ya akina Cleflor Dollar, Joel Osteen, Jesse Duplantis, Ron Pasley na akina Copeland + other gospel crooks. Nilikuwa namuona usiku wa manane na akina Mike Murdock akijaribu kuaminisha watu kuwa ukipanda mbegu ya $1,000 basi utabarikiwa sana mpaka ushangae.

Kazi ameimaliza. Ni wakati wa mapumziko sasa
Rafiki yangu alipanda sana hizo mbegu, alitoa mil 3 mpaka 5. Siku moja tumekaa ananiambia hataki hata kwenda kanisani, anaamini kilicho kwenye biblia na kusaidia wasiojiweza.

Huwa anatafuta yatima na kuwasomesha na kulipa kodi ya mwaka au miaka miwili kwa wajane.
 
Rafiki yako yuko sahihi. Mambo ya kupanda hizi mbegu ni kutajirisha tu majamaa. Afadhali nipeleke hiyo mbegu kwa wagonjwa mahospitalini huko ikalete faraja na matumaini kuliko kuwapa hawa matapeli wa injili. Tena wengine wanakwambia ukipanda hiyo mbegu na usione mibaraka basi wadai wakurudishie mbegu yako. Lakini ukijaribu kuwadai watakwambia kuwa imani yako ni haba ndiyo maana hujapata muujiza...Hovyo kabisa !!!
View attachment 1504192
Vipi alikuwa na Private Jets ngapi? Kwani hawa ma-Televangelists wanashindana kununua jets siku hizi. Ila huyu mwamba alishachapisha vitabu zaidi ya 80 hivi.
 
2 Timotheo 4:7-8

7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda;

8 Baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.

"Ama kwa hakika mtumishi huyu wa Mungu mwendo ameumaliza hapa duniani ktk ulimwengu wa mwili, anachokisubiri kutoka kwa Mola wake ni taji lake la thamani kubwa ktk ulimwengu wa roho"

Amina.
 
Mtumishi wa Mungu Morris Cerullo ameacha mjane wa ndoa ya miaka 68 iliyobarikiwa watoto watatu waliokulia katika familia ya kikristo, upendo na amani.

20200712_221453.jpg

Morris mwenyewe akiwa mtoto alipoteza wazazi kwenye ajali ya gari na hivyo kupelekwa kuishi kwenye majumba mbali mbali ya yatima, ambako mwishoni alitoroka akiwa na miaka 14 baada ya Wakurugenzi wa Kiyahudi kumdhibiti alipoanza kuwaletea mambo ya imani yake mpya ya Kikristo.

Mtoto wake mmoja, David, ni Makamu wa Rais wa taasisi ya Morris Cerullo World Evangelism na mwingine, Suzan, ni mkurugenzi wa makongamano.

Mtoto wake wa tatu, Mark, alifariki akiwa na miaka 36 mnamo mwaka 1993, miaka mitatu baada ya wazazi wake kumtangaza kwamba wamemshindwa na wanaenda kumwacha apambane na hali yake mbele ya mkono wa sheria na mbele za Mungu.

Kijana wa mtumishi huyo alihukumiwa kwa kesi mbali mbali za udokozi, wizi, uvamizi, kuficha silaha, na matumizi ya madawa ya kulevya.

Mnamo mwaka 1990 kipindi ambapo baba yake ametoka kushinda shauri katika mahakama ya ufilisi na minada na kupewa fursa ya kununua taasisi kubwa ya kidini kwa dola milioni 44 kijana wake Mark alikamatwa akijaribu kuiba kiyoyozi kwenye duka la vifaa vya ujenzi la Home Depot jimboni California, Marekani.

Kijana Mark aliingia na mwenzake dukani na kuelekea chooni ambapo alikuta apron la wahudumu limetundikwa kizembezembe na kulivaa kabla na kuanza kusaidia wateja.

Baadae Cerullo alienda kumsaidia "mteja" aliyeingia nae kwa kumkokotea kitoroli kilichokuwa kimepakiwa kiyoyozi. Kabla ya kutoka walisimamishwa mlangoni na walinzi na kutiwa nguvuni. Kwa vile ni yeye ndie aliyekuwa akisukuma kitoroli, na kwa vile nchini humo hakuna sheria ya kukamatwa kusaidia polisi au kuunganishwa kwenye kesi kwa kuzolewa zolewa jumla jumla, mwenzake aliachiwa aondoke.

Baba yake, Mchungaji Cerullo, alikataa kumtolea dhamana ya dola 4,000 wala kumsaidia kumletea wakili, na kusema amechoka na pia haiwezekani mzazi kudhibiti mtu wa miaka 33.

Morris Cerullo ameacha familia iliyo kati ya zenye ukwasi kuliko zote duniani katika medani ya uinjilisti.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Apumzike kwa amani huyu dingi.

Miaka ile bado nasali ilikua daily lazima tupate mahubiri ya Cerullo.

Hivi TBN bado ipo? Kila Dollars, Joyce Mayer na kipindi chake cha enjoy your everyday life, Joel Osteen hua naona watu wanaweka zile podcast zake WhatsApp statuses.

Niliwahi kusikia Rehnard Bonkey alifariki sijui kama ilikua kweli. Yule myahudi tapeli aliwahi kuja Bongo bado yupo?
 
Back
Top Bottom