JaJi Bongole Afariki Dunia akiwa Kazini: Umejifunza nini kwenye kifo chake?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,037
20,401
a.jpeg
Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole aliyefariki Dunia jana tarehe 15-07-2020 saa 5 usiku baada ya Kuugua ghafla.

Kifo, hatusemi sana , ila kinatukumbusha kutoa maamuzi kwa haki, lakini pia ukifika umri wa kupumzika fanya hivyo.

Jaji Mwenzangu pole sana na hukomRombo najua watakuwa wanaendelea na maandalizi mema.
Judiciary itatuma uwakilishi

Taarifa za Mipango ya Mazishi zitajulikana baadaye.
 
Kwani alikuwa hatoi maamuzi ya haki? Alisimamia kesi gani aliyovurunda?
RIP judge
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani alikuwa hatoi maamuzi ya haki? Alisimamia kesi gani aliyovurunda?
RIP judge
Hakuna pahala imesemwa hatoi haki, imekumbushwa tu kusimamia haki! Hata kwenye misiba sisi Wakatoliki, padri au katekista hukumbusha hivyo.
 
Alale kwa amani ila lile suala LA kukaimu ujaji mkuu bado lina ukakasi ingawa halikuwa na nafasi kwenye msiba wa Bw. huyu
 
What is so special kwenye msiba wake hadi watu wajifunze kwake, alikuwa binadamu wa daraja la juu kuliko wengine?
 
Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole aliyefariki Dunia jana tarehe 15-07-2020 saa 5 usiku baada ya Kuugua ghafla...

Muda wa kujaza nafasi ya CJ kikatiba (kisheria) ukoje na je, katika kipindi hicho cha mpito, majukumu ya CJ yanasimama mpaka CJ atakapopatikana?

It isn’t enough to bill the ‘appointment of an acting CJ’ as unprecedented. Kama kuna katazo la kisheria sawa. Otherwise, hata precedent starts somewhere!
 
Back
Top Bottom