Watalii wa kimarekani kuanza kumiminika Tanzania? Maamuzi ya Wizara ya Utalii tuliyoyabeza kuanza kuzaa matunda?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye utalii, alisema TZ hatuhitaji watalii njaa. Tanzania kuwa miongoni mwa nchi chache zinazoruhusu wamarekani, je mkwanja wa utalii na ajira kuongezeka?

116110811_216624089645268_2815948283883802789_n(1).jpg
 
Kwanza wao wako tayari kutokuambukiza corona kwa mataifa mengine kama walivyokuwa wakiituhumu China kusambaza virusi vya covid19?.
 
Tanzania imefungua mipaka yake kwa wote kwa muda mrefu sasa!! So, issue sio kuwaruhusu bali wao kuwa tayari kuingia Tanzania!
 
Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye utalii, alisema TZ hatuhitaji watalii njaa. Tanzania kuwa miongoni mwa nchi chache zinazoruhusu wamarekani, je mkwanja wa utalii na ajira kuongezeka?

View attachment 1522226
Tanzania ni kama dodoki halichuji linanyonya kila uchafu, tumewaruhusu kuja bila kujali athari ya corona ili tuonekane tumepata watalii wengi kwa expense ya maisha ya watanzania.
 
Ila USA ni taifa imara sana, hii restriction tungepewa sisi shithole country tungelia mpaka kujigalagaza kabisa.

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Back
Top Bottom