TANZIA Msanii maarufu wa vichekesho Kenya Jina Papa Shirandula aaga Dunia, corona yahusishwa

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Apr 11, 2018
758
551
Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji.

TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa Shirandula" has died in Nairobi.

His brother-in-law Rowland Wanyama, told the Star that the actor collapsed at the Karen Hospital's parking after developing breathing complications.

"He tested positive of corona and he agreed with the doctors that he returns home and have home-based care until today when he developed breathing complications.”

Papa.jpg
Papa.jpg


 
Huyu jamaa alikua maarufu sana kule Kenya..nilikua namuona sana Citizen TV..btw apumzike kwa amani.
Jamaa Character yake ilikuwa hataki Mke wake ajue kazi anayoifanya...kazi yake alikuwa ni Mlinzi getini, akiwa kazini anavaa unifomu akiondoka anapitia kichakani anabadilisha anavaa suti ndio anaingia nyumbani.
 
Tatizo la upumuaji? Kuna wakati Tz tulipata misiba ya aina hii na utakuta anakuja mtu kutype 'Si mseme corona, sie tumefanya lockdown nyie mnazurura kama kuku'

Now tumefika hapa.
 
COVID-19 ni tatizo kubwa kwa wenye miili mikubwa na/au umri mkubwa.
Wembamba nao siyo kinga wote tuchukue tahadhari.
Hata huku kwetu huenda wenye maambukizi ni wengi ila inawaumiza zaidi wenye magonjwa yale sugu kama sukari, presha n.k.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom