Kama kawaida ya mipango ya Mungu. Kamanda Athuman Kidavashali aliyekuwa kamishina wa Polisi Makao Makuu amefariki. Poleni sana Makamanda wote. Kifo hakina huruma kinambeba kila mtu awe mwalimu, polisi, mkulima, Rais, waziri na yeyote yule.
==========
Mkuu wa Jeshi la polisi,(IGP Simon...
TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU.
Leo 18:30hrs 16/11/2020
Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China...
Rais Omar Bongo wa Gabon ni Rais anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi duniani. Rais huyo aliongoza Gabon kwa miaka 42 tangu Desemba 2, 1967 hadi alipofariki Juni 8, 2009.
Aikuwa akipita bila kupingwa kwa miaka ya awali walipokuwa na mfumo wa chama kimoja...
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.
Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.
Innallillah wainnallilah raajuni...
Mtumishi wa muda mrefu wa wananchi wa Palestina bw Saeb Erakat amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.
Marehemu Erakat alikuwa mtu wa karibu wa kiongozi mwasisi wa PLO na ameendelea kuwa chini ya rais Mahamud Abbas tangu pale alipomrithi Yasser Arafat.
Katika umri wa utumishi wake ameshiriki...
Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba.
Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020.
Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho.
---
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni.
Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi...
Habari za jioni watanzania!
Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi bila ugomvi au rushwa.
Wapo waliotumwa kuvuruga hali ya hewa hata kabla ya kuingia siku ya upigaji...
Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili.
Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa ndugu wa karibu kwenye familia kwa pamoja tunasema poleni walioguswa na msiba huu mzito
Kuna Malazy waliokuwa wanaposti hapa matamshi ya waziri wa kawi wa Tanzania Dr. Medard Kalemani akisema kuwa TZ ndio ina highest electricity coverage in Africa . Walitaka kutuaminisha kuwa TZ ina higher access to electricity kushinda hata South Africa au Egypt.
Niliambia mmoja anayeitwa Naton...
Je, wajua namba hiz hizi za kawaida huwa na frequence fulani endapo kama zitapangwa katika mpangilio maalum ndivyo unavyoweza kusababisha impact ya aina fulani mfano kutibu,kukuletea matokeo chanya ya aina fulani na mengineyo but how this work?
Control of the future is 148721091
The...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kwakweli waafirika hasa vijana tuna takiwa kujitafakari tena kwa kina.
Kila siku tumekuwa na mtindo wa kuwalaumu wana siasa kwa umasikini wa nchi zetu ,lakini tatizo lipo kwetu hasa hasa kwenye fikira zetu. Ukitaka kuamini hilo fuatiria kampeini zinazo...
Tanzia, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa MOI Dkt Paul Gasper Marealle (Daktari bingwa wa Mifupa) kilichotokea usiku wa kumakia tarehe 14/10/2020 katika Taasisi ya MOI. Apumzike kwa Amani
Kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha...
Wapiga mbizi wa jeshi la Poland wameanza operesheni ya hatari ya kunasua bomu kubwa la Uingereza lililotumika kwenye vita vya pili vya dunia lililo chini ya bahari.
Karibu wakazi 750 wameondolewa kutoka kwenye eneo hilo karibu na mji wa bandari wa Swinoujscie, na operesheni hiyo inatarajiwa...
Hello, habari zenu wakuu. Nahisi muko wazima wa afya, leo nimekuja na hii, unahisi dunia itakuwaje kama sisi sote tukilala kwa muda wa miaka 1000. Baada ya miaka hiyo 1000 tutakapoamka dunia itakuwaje? Yaani namaanisha watu tuwe tumealala kama tuliokufa kuwe hakuna shughuli inayoendelea.
Tupa...
Nimesoma kitabu Cha Mwanzo (Genesis) na kwa Tafsiri yake naona kama vile tunaishi chini ya maji.
Mwanzo 1 :6-10, inasema;
"Then God said, let there be a firmament in the midst of the waters , and let it divide the waters from the waters. Thus God made the firmament and divided the waters which...
Kila kitu hapa ulimwenguni ni art na hii kazi ya arts ina kiwango chake. Hata mambo ya usalama ni kazi ya sanaa iliyojaa watu wa level tofauti. Kuna mjamaa mmoja alitumwa na boss wake kumfuatilia mama mmoja muuza vipande vya mihogo mibichi barabarani. Kilichomshtusha boss ni ulinganifu wa sura...
Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.