Watanzania mjiulize kwanini mnatengwa na dunia hata kwenye misiba, japo mnapenda kuililia Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,407
Kwenye msiba wa mzee Mkapa, kwa majirani zenu wote, Burundi tu ndiye alijitutumua kutuma ujumbe, sisi Wakenya tulituma japo ikasemekana mliwafukuza na kusingizia hali ya hewa, Malawi hakuja mtu, Zimbabwe hakuja mtu, Zambia kimya, Mozambique wala hata mmoja, Rwanda ndio chali kabisa, Bakongo/DRC nje nje, Uganda hakua hata na habari.

Afrika Kusini kule ambao huwa mnajipendekeza na kuwashobokea hawakuthubutu, SADC yote kimya.

Afrika yote, Ulaya, Uarabuni, Bara Asia kote kote hakuna aliyenyanyua kichwa.

Mkae na kutafajari sana na kujiuliza wapi mlijikwaa hadi dunia inawatenga na kuwatelekeza hata kwenye msiba wa kiongozi aliyeheshimika sana duniani. Mna mazoea ya kuilaumu Kenya katika masaibu yenu yote na kulialia, ila hamkai na kujiuliza ilipo kasoro yenu, kutwa povu tu na kuchimba mikwara.

Leo hii Tanzania imepigwa alama nyekundu kwa wasafiri wote wanaotokea huko, pasipoti ya Tanzania inawasha taa nyekundu hata Uarabuni, angalia hii link mumetajwa ndani ya mataifa 12 ambayo yanasemekana kuwa hatari, na hii mtalaumu Kenya

Emirates passengers from these 12 countries now need to undergo Covid-19 tests before flying
 
Haya maneno yako yana mantiki ila watanzania wanaoshindia vipolo humu ndani watakebei, ila ukweli ndoo huo Ben alikuwa mtu mkubwa sana ukilinganisha na wastaafu waliobaki na huyu alieko madarakani, sasa kwani tukasusiwa huu msiba?
 
MK254,

Nilidhani ni bongo pekee imetengwa kwa namna ulivyotafsri wewe kumbe yako mataifa mengi tu..na huko kutengwa sijakuona ila nachoona yanalazimishwa kufanya test kwanza ili yaruhusiwe. Kunya mnajidai mnajua english kumbe ziro brain. Ndo maana mnalia lia kila wakati bure kabisa.
 
MK254,

Kitu pekee cha maana nilichokiona hapa ni kwamba unaweza kuandika Kiswahili kizuri kuliko hata Watanzania wengi waliomo humu Jamii Forums, lakini maudhui (contents) ni utopolo mtupu. Kwa vyovyote kuna hitilafu kwenye ubongo wako iliyotokana na athari za corona.

Sisi tunapiga hatua tu, hapa chini hafla Rais Dk. John Magufuli akiwa na Balozi Mpya wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Donald J. Wright Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya hafla ya kutambulishwa juzi. Unaona hakuna cha barakoa wala utopolo wa Kikenya.

USA Ambassador.jpg
 
Kitu pekee cha maana nilichokiona hapa ni kwamba unaweza kuandika Kiswahili kizuri kuliko hata Watanzania wengi waliomo humu Jamii Forums, lakini maudhui (contents) ni utopolo mtupu. Kwa vyovyote kuna hitilafu kwenye ubongo wako iliyotokana na athari za corona...
hii inaitwa makavu live, tusubiri mrejesho.
 
Kitu pekee cha maana nilichokiona hapa ni kwamba unaweza kuandika Kiswahili kizuri kuliko hata Watanzania wengi waliomo humu Jamii Forums, lakini maudhui (contents) ni utopolo mtupu. Kwa vyovyote kuna hitilafu kwenye ubongo wako iliyotokana na athari za corona...

Sisi tunapiga hatua tu, hapa chini hafla Rais Dk. John Magufuli akiwa na Balozi Mpya wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Donald J. Wright Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya hafla ya kutambulishwa juzi. Unaona hakuna cha barakoa wala utopolo wa Kikenya...

View attachment 1526615

Tena waume zao wanaowashobokea hawajavaa barakoa ndani ya ardhi ya Tz,hii inaashiria nchi yetu ipo salama 1000000% and free from corona virus,wao waendelee kupimana tu sisi tunachapa mwendo
 
Kitu pekee cha maana nilichokiona hapa ni kwamba unaweza kuandika Kiswahili kizuri kuliko hata Watanzania wengi waliomo humu Jamii Forums, lakini maudhui (contents) ni utopolo mtupu. Kwa vyovyote kuna hitilafu kwenye ubongo wako iliyotokana na athari za corona...

Sisi tunapiga hatua tu, hapa chini hafla Rais Dk. John Magufuli akiwa na Balozi Mpya wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Donald J. Wright Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya hafla ya kutambulishwa juzi. Unaona hakuna cha barakoa wala utopolo wa Kikenya...

View attachment 1526615

Itazame video yote hii uone balozi alivyopata tabu muda wote amejighubika libarakoa katikati yenu na kuonekana kama zombi, akaona isiwe tabu akaivua, ila huko aliko najua anapata tabu sana kiw n wasiwasi ya mlichomfanyia.
 
Haya maneno yako yana mantiki ila watanzania wanaoshindia vipolo humu ndani watakebei, ila ukweli ndoo huo Ben alikuwa mtu mkubwa sana ukilinganisha na wastaafu waliobaki na huyu alieko madarakani, sasa kwani tukasusiwa huu msiba?
Hayana mantiki yoyote,muwe mnasoma alama za nyakati..leo hii hata akifa kenyatta mataifa machache tu yatahudhuria kutokana na hii covid 19..wengine wataishia kutoa salamu rambirambi

Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia matako au??!!
 
Itazame video yote hii uone balozi alivyopata tabu muda wote amejighubika libarakoa katikati yenu na kuonekana kama zombi, akaona isiwe tabu akaivua, ila huko aliko najua anapata tabu sana kiw n wasiwasi ya mlichomfanyia.

Wewe akili yako bado changa sana, niliwahi kukuambia wakenya wanaishi kwa imani na imani yenu ni kuwa Tanzania imeathirika sana, muulize Kahata mchezaji wa Simba ambaye anaishi humu bongo na anatembelea mitaa ya Tandale na anapanda daladala zetu hata kokohozi hana.
Endeleeni na imani yenu mtabarikiwa, sisi tunachapa kazi barabara zinajengwa, hydroelectric dam on progress, SGR as usual everything as normal. Endeleeni kuumia tu mkitugusa na sisi tunawagusa
 
Kwenye msiba wa mzee Mkapa, kwa majirani zenu wote, Burundi tu ndiye alijitutumua kutuma ujumbe, sisi Wakenya tulituma japo ikasemekana mliwafukuza na kusingizia hali ya hewa, Malawi hakuja mtu, Zimbabwe hakuja mtu, Zambia kimya, Mozambique wala hata mmoja, Rwanda ndio chali kabisa, Bakongo/DRC nje nje, Uganda hakua hata na habari.

Afrika Kusini kule ambao huwa mnajipendekeza na kuwashobokea hawakuthubutu, SADC yote kimya.

Afrika yote, Ulaya, Uarabuni, Bara Asia kote kote hakuna aliyenyanyua kichwa.

Mkae na kutafajari sana na kujiuliza wapi mlijikwaa hadi dunia inawatenga na kuwatelekeza hata kwenye msiba wa kiongozi aliyeheshimika sana duniani. Mna mazoea ya kuilaumu Kenya katika masaibu yenu yote na kulialia, ila hamkai na kujiuliza ilipo kasoro yenu, kutwa povu tu na kuchimba mikwara.

Leo hii Tanzania imepigwa alama nyekundu kwa wasafiri wote wanaotokea huko, pasipoti ya Tanzania inawasha taa nyekundu hata Uarabuni, angalia hii link mumetajwa ndani ya mataifa 12 ambayo yanasemekana kuwa hatari, na hii mtalaumu Kenya

Emirates passengers from these 12 countries now need to undergo Covid-19 tests before flying
UKUTA WA MERERANI UNAVYOMKERA JIRANI.

Na Thadei Ole Mushi.

Leo Saniniu Laizer anauza Tena Jiwe la Mabilioni ya shilingi, wakati haya yakiendelea hapa Simanjiro Kuna nchi nyingine zinanuna. Jiwe la leo lina uzito wa kilo 6.63

Twende sawa!!!

Mwaka 2014 Nchi za Kenya na India ziliipita kwa mbali Tanzania kwa kusafirisha na kuuza katika soko la dunia, madini ya tanzanite ambayo yanapatikana hapa nchini pekee.

Kamishna wa Madini katika Wizara ya Nishati na Madini kwa wakati huo , Mhandisi Paul Masanja aliwaambia waandishi wa habari kwamba kwa mwaka 2013, Tanzania haikufikia hata nusu ya Kenya kwa mauzo ya madini hayo ya vito.

Kamishna Masanja alisema mwaka 2013 pekee, Kenya ilisafirisha na kuuza nje ya nchi tanzanite yenye thamani ya zaidi ya Dola 100 milioni za Marekani (Sh173 bilioni) dhidi ya Dola 38 milioni (Sh45.5 bilioni) zilizouzwa na Tanzania.

"Katika kipindi hicho cha mwaka Cha mwaka 2013, India iliuza tanzanite zenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani 300 milioni (Sh509 bilioni) kiasi cha baadhi ya wanunuzi wakubwa, hasa kutoka Marekani kujiuliza iwapo madini hayo yanachimbwa India," alisema Masanja.

Bila kumtaja jina, Kamishna huyo alisema mmoja wa wanunuzi wakubwa wa madini ya vito kutoka nchini Marekani aliwahi kumuuliza iwapo kuna migodi ya tanzanite India kwa sababu akifika huko hupata tanzanite bora na zenye ukubwa kuliko anayopata Tanzania.

Mwaka 2016 Marc Nkwame, Mwandishi Tanzania Daily News aliripoti kuwa Kenya iliuza tena madini ya Tanzanite njee ya mipaka yake yenye Thamani ya Dola milioni Mia Moja huku India ikifikia dola milioni 300 na Tanzania ambaye ndiye mwenye machimbo akiuza madini ya Dola million thelathini na nane tu.

Ujenzi wa ukuta wa MERERANI umekuwa shubiri kwa Kenya na India Kwani sasa wamebaki wakitizama show ya uuzaji wa madini moja kwa moja pale Merereni na Tanzania Sasa ndio inayoongoza kwa uuazaji wa madini haya ndani na nje ya nchi fuatilia link ifuatayo kuona yaliyokuwa yakiendelee kwenye sector ya madini.

Efforts to curb tanzanite smuggling make Tanzania shine - ENACT Africa

Huenda yaliwahi kupatikana mawe Mengine Makubwa zaidi ya haya lakini yalikuwa hayaonekani na Wala yalikuwa hayaliingizii Taifa kipato. Mtaelewa tu kwa nini Kuna vuguvugu Kati yetu na Jirani.

Tanzania haiwezi kufanywa Kama Congo kamwe.

Ole Mushi
0712702602
 
Nilidhani ni bongo pekee imetengwa kwa namna ulivyotafsri wewe kumbe yako mataifa mengi tu..na huko kutengwa sijakuona ila nachoona yanalazimishwa kufanya test kwanza ili yaruhusiwe. Kunya mnajidai mnajua english kumbe ziro brain. Ndo maana mnalia lia kila wakati bure kabisa

Wengine waliotengwa tunaelewa maana takwimu zao zinasoma balaa, ila nyie mliojiaminisha pumba za wanasiasa eti corona imejifia mumetengwa maana dunia imegoma kumeza huo ujinga.
 
Yaani Burundi, Burundi? Kati ya mataifa yote ya EAC na SADC pia? Kwahivyo seneta Poghisio ndiye aliyekuwa awe top VVIP kwenye msiba? Acha nicheke tu, hata kama ilikuwa ni heshima ndogo kwa Mkapa ila tunajua sote kwamba tatizo halikuwa mwendazake.
 
Ndugu umefanya utafiti, kama niliona mjumbe wa Mozambique akiongea ila sikufatilia
 
Back
Top Bottom