dodoma

  1. thatwhatyoubecome

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa

    Habari wana Jf na wakazi wa Dodoma.! Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa, Tsh. 2000/= @ 1 litre Monthly Bills na Discount Kwa Maziwa mengi inapatikana. LOCATION: Dodoma Mjini Info; PM Natanguliza Shukrani
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

    Ndugu Rashid Dalai, mmiliki wa shule ya kiislamu ya Zam zam iliyopo Dodoma na pia Mkurugenzi wa taasisi ya Islamic Foundation amekutwa amekufa ndani ya ofisi yake iliyopo ktk jengo moja na ofisi za Magazeti ya Serikali (Habari leo na Daily News) hapa Dodoma mjini maeneo ya Nyerere Square (karibu...
  3. F

    JamiiForums Tanzania X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
  4. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Maelekezo kutoka kwa wenyeji wa Dodoma

    Habari za leo wakuu, mimi ni mgeni hapa Dodoma na kama mjuavyo kesho ni siku ya Christmas na nimepanga kutoka kidogo na watu wangu wa karibu ni sehemu gani tutakapopata chakula kizuri kwa bei ambayo ni rafiki kwa Mtanzania wa kawaida itapendeza hata ukinitajia na bei zake, natanguliza shukrani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma ipandwe miti sasa

    Sio kila kitu mpaka aseme Rais wetu Magufuli jamani. Hebu pandeni miti sasa hapo jijini Dodoma kwa kila kaya iwe na miti isiyopungua 2 na iwe ni jukumu la wahusika kwenye kaya.
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tusihamishie Dodoma kero za Dar es Salaam

    Kero kubwa ya Dar es Salaam kushinda zote ni foleni ndefu za magari kuelekea na kutoka Posta. Shida hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na ofisi na huduma nyingi kupatikana mitaa ya Posta. Je, huko Dodoma kosa kama hili wamelizingatia? Je, ofisi nyingi za serikali zimetawanywa au zote ziko mtaa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuchele: Serikali ya viwanda inapiga kazi?

    Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda kitakachoajiri watu 100,000 na kupewa mishahara ya laki 5. Hakika hakuna kiwanda kilichokufa vyote vipo...
  8. Bubolwa Chura

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana yeyote aliyeko Dodoma na yuko tayari, ili nimvishe pete

    Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo; Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata kidogo. Kilichosababisha nikajua ni rafiki yangu waliyekutana kwenye semina Da es salaam ambapo demu...
  9. msemakweli2

    JamiiForums Tanzania Tunaokaa watumishi wa serikali Dodoma chumba kimoja na godoro tukutane hapa

    Kimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba kimoja ndani kuna gororo tumeweka chini basi. Wengi wetu muda wa kazi ukiisha tunazugazuga pale...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tumeshahama sasa tujikite kwenye ndoto ya Nyerere ya kuwa na serikali moja kwani Dodoma ni katikati ya Kagera na Zanzibar

    Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja. Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya...
  11. A teller

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa gitaa Dodoma

    Wakuu nadhani mu wazima natafuta mwalim wa mziki anayejua kupiga gitaa vizuri,gitaa la galaton (aquatics guitar) nipo dodoma wakuu namba zangu ni 0758461664
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Magufuli aagiza wananchi walipwe bilioni 3.4

    Rais John Magufuli ameliagiza Jiji la Dodoma kuanzia Desemba mosi mwaka huu lianze kulipa fidia kwa wananchi wa Kikombo Dodoma ambao maeneo yao yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi Tanzania. Ametoa agizo hilo leo muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo na...
  13. scatter

    JamiiForums Tanzania Kufeli kwa Serikali kuhamia Dodoma

    Wakuu zipo sababu kibao ambazo tukizitaja zinaweza kuwa mwiba mchungu sana lakini itabidi tuzitaje ili kuuboresha mji wa Dodoma ambao umepewa hadhi ya jiji ikiwa kimuonekano baado sana 1. Geografia ya mji wa Dodoma Mkoa huu ni miongoni mwa mikoa mikame na yenye asili ya jangwa kwa maana hauna...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

    Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba. My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Magufuli kuhamia rasmi Dodoma, Je Ikulu ya Dsm itajulikana kama Ikulu ndogo na RC kusogezwa jirani?

    Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo? Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine? Nasubiri majawabu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapatia jeshi la polisi jengo la ghorofa nne ilii wahamie Dodoma

    Hapa ndipo itakapokuwa makao mkuu ya jeshi la polisi Tanzania mkoani Dodoma.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Wale wa Dodoma ACCA na CPA Review Classes January 2020, karibuni sana

    Wale wa Dodoma mnaohitaji ACCA/ CPA karibuni sana. We are full time available for teaching services.
  18. kidadari

    JamiiForums Tanzania Police wapewa jengo la idara ya maji (Duwasa) kua makao makuu ya jeshi hilo Dodoma

    Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma. Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ammwagia sifa RC Mahenge wa Dodoma asema jiji hilo linabadilika kwa kasi na linaelekea kuipita Dsm

    Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira. Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
Back
Top Bottom