Habari za mchana! Miaka ya 2016 kurudi nyuma Mamlaka ya maji safi Dodoma(DUWASA) ilikuwa inafanya vizuri sana Kwa kuwa matumizi ya maji hayakuwa makubwa sana na hii ilipelekea wawazuie baadhi ya wasambazaji Wa Huduma za maji kama water project iliyokuwa inasambaza maji maeneo ya Miyuji proper...
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge...
Aliekuwa Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma Ngugu, Antonio Manyanda amefariki duni.
Mwili inasemekana uko Hospitali ya Lugalo ukifanyiwa uchunguzi. Inaonekana kama heart attack. Alikimbizwa BOSCH usiku lakini akafariki kabla ya kufika saa 7 usiku. Alikuwa arudi Dodoma leo asubuhi baada ya Pasaka...
Kufuatia tishio la kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa Corona,Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Godwin Kunambi amelazimika kubadilisha mfumo wa uuzaji fomu kwa ajili ya maeneo kutoka njia ya kawaida na kuanzisha mfumo wa kidijitali.
Akizungumza na waandishi wa habari April 8,2020jijini Dodoma...
Wanabodi,
Wale wenye nafasi, unganeni nami kupitia TBC Live kuangazia Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa nchini Tanzania, Mtangazaji wa TBC, Marin Hassan Marine, aliyefariki jana asubuhi kwenye hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam.
Marin Hassan Marine ndiye aliyeanzisha...
Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya.
Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi.
Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma.
Mara namsikia...
Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.
Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja...
Wazo la kuhamahamishia serikali Dodoma lilikuwa la Mwl. Nyerere wakati ya awamu ya kwanza. Lakini hata baada ya kuliongoza taifa kwa muda mrefu alishindwa kuitekeleza mdoto yake ya kuhamia Dodoma.
Ndoto ya kuhamia Dodoma pia haikutimia kwenye awamu zingine 3 (miaka 30) zilizofuata na...
Daraja la Mkange katika Kijiji cha Magubike wilayani Kilosa mkoani Morogoro limebomoka kwa mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha mawasiliano kati ya Dodoma na Morogoro kukatika.
======
Daraja la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo kati ya Magubike na Kiegeya Barabara ya...
Hii idadi siyo ndogo kuna haja ya jamii kuamshwa ili kutambua mchango wa elimu kwa Mtoto wa kike kwa kuangalia mrejesho wa elimu kwa mtu binafsi na kwa jamii yake "private rate of return and socia returns"..
Elimu pia ina faida msambazo kwa jamii "spill over benefits".Kuna haja elimu ya...
Nimesoma kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa utagharimu dola za kimarekani 272 Millioni. Details zinaonyesha kuwa uwanja utakuwa na uwezo wa kupitisha watu Milioni moja tu kwa mwaka (1,000,000 passengers). Hicho kiasi cha abiria kwa mwaka ni kidogo sana kulingana na gharama za pesa hizo.
Dodoma...
Africa's ambitious infrastructure: Tanzania secures $272m for new airport
''Several African countries, and the African Union itself have prioritised infrastructure development as a means of integrating the continent and connecting people to markets, with an objective of lifting millions out of...
Wazo la taifa kuhamishia shughuli zake Dodoma ni la siku nyingi tangu serikali ya awamu ya kwanza. Sababu kubwa ya kuhamia tuliyoelezwa ni kuwa Dodoma ni katikati ya nchi, hivyo Watanzania wengi ingewawia rahisi kufika Dodoma na kuhudumiwa kwa haraka.
Wakati wazo hili linatolewa miaka hiyo...
Kuna habari zinazosemekana kuwa mzee Makamba na Abdulrahman Kinana (makatibu wakuu wa zamani CCM) wanaweza kuhojiwa na kamati ya maadili CCM leo hii jumatatu ya tarehe 10 February, 2020.
Hii ni baada ya wazee hao wakongwe wa chama hicho kuwachomesha mahindi wajumbe wa kamati ya maadili kwa siku...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, mbali na kusababisha vifo, imeathiri barabara 73 na madaraja kwenye mikoa 18 nchini.
Picha: Baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua nchini.
Amesema reli ya Tanga hadi Arusha, na Dar es Salaam hadi...
Hapa siwashitaki mawaziri na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali kwa Rais Magufuli, maana yeye mwenyewe yupo kote kote.
Ukweli ni kwamba Dodoma wapo watumishi na maafisa wa kawaida tu, wakuu zao huenda Dodoma kuchungulia na kufanya kazi zenye ulazima wa kufanyia huko tu.
Kila wiki tupo nao...
Magari zaidi ya 100 yamekwama katika eneo la Mpunguzi jijini Dodoma nchini Tanzania kwa zaidi ya saa nane baada ya magari matatu ya mizigo kunasa kwenye tope kutokana miundombinu mibovu ya barabara iliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Februari 4...
Serikali imesema tayari imepata wawekezaji wawili ambao wanataka kuwekeza nchini kiwanda cha kuchakata mafuta ya bangi yanayotumika kwa matibabu.
Hayo yalielezwa jana bungeni Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angella Kairuki wakati wabunge wakichangia mijadala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.