Rais Magufuli ammwagia sifa RC Mahenge wa Dodoma asema jiji hilo linabadilika kwa kasi na linaelekea kuipita Dsm

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,949
141,928
Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira.

Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm kwa maendeleo.

Dr Magufuli ameyasema hayo wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa soko kuu la mkoa na stendi kuu ya mabasi.

Source TBC!

Maendeleo hayana vyama!
 
John wa Jina na Mkuu what is your comment?.....hahahaha
 
Waliozaa vilaza wanachunwa sana kwenye hizi shule uchwara za ada ya millioni 4

Sisi watoto wetu wako shule za elimu bure na wanakimbiza mbaya .

Kituo ni UDSM
 
Una reflect chuki ulizonazo wewe mwenyewe kwa kuzi impose kwa president.

You sound suicidal...

Kiongozi anasifiwa kwa kusimamia maendeleo no matter nani ametoa pesa.
Huyu dikteta huwa ni mkurupukaji tu, sifa zake hazina tija wala uhalisia. Anamsifu RC, kwani ndiye ametafuta hiyo fedha za ujenzi unaoendelea Dodoma? Kama siyo RC aliyetafuta hiyo fedha kwann asifiwe?

Huyu mhutu ana shida sana.
 
Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira.

Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm kwa maendeleo.

Dr Magufuli ameyasema hayo wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa soko kuu la mkoa na stendi kuu ya mabasi.

Source TBC!

Maendeleo hayana vyama!
Sasa hivi utasikia dodoma inawatu milioni saba zaidi ya dar ukibisha unadaiwa takwimu na washika takwimu ndio watoa taarifa.
 
Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira.

Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm kwa maendeleo.

Dr Magufuli ameyasema hayo wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa soko kuu la mkoa na stendi kuu ya mabasi.

Source TBC!

Maendeleo hayana vyama!
Sawa, kama atakuwa na nafasi nashauri akague barabara zinazojengwa jijini Dodoma ajionee hao makandarasi wa ndani wanavyopiga hela. Mpelekeni barabara ya Kaloleni na Hijra.
 
Back
Top Bottom