Police wapewa jengo la idara ya maji (Duwasa) kua makao makuu ya jeshi hilo Dodoma

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma.

Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
 
Hao ndio wanaompa kichwa na dharau, lazima awabembeleze! Wafanyakazi mna nini. You can be hired and fired at will! Your labour power is not tied!
 
Ni mdau wa mabavu kama police wenyewe
 
Hilo jengo lenyewe liko wapi tulione?
IMG-20191122-WA0016.jpg
 
Zimamoto hawana haja ya kupewa jengo haraka haraka hivyo na hata wakipewa litakuwa la kawaida tu.

Uhamiaji mabishoo wengi wale watafanya mambo yao kisomi na taratibu.

Magereza wao wana nguvu kazi na wana maeneo makubwa sana tofauti na Polisi wao hawawezi kupewa watajenga wao wenyewe.
Kawaida ya wajelajela ni kuanzisha miji mipya
 
Zote ni idar za serekali
 
Zote ni idar za serekali
Serekali = Serikali
Angalia Jengo la makao makuu ya Magereza DSM na la Polisi DSM utafahamu nini Magereza huwa wanafanya na wanafanya yale kwa sababu ya manguvu kazi waliyonayo.

Uhamiaji nao watapewa tu pamoja na Zimamoto ila yatakuwa yakawaida kwa sababu hawana manpower
 
Back
Top Bottom