Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Aaijipe moyo, sheria si zinatungwa tu kubadili sheria zilizopita?

Kama anavyobadilisha yeye sheria, watabadili tu na wengine, tena wanaweza hata kwenda mbaali zaidi na kuondoa kinga ya rais mstaafu! Akaja kufungwa kwa kuendesha nchi bila kufuata sheria!
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
TUMEHAMA,
TUMEHAMIA
siyo tumeama
tumeamia!
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Mara hii ameshaanza kupambana na kumkosoa rais ajaye kabla hata yeye mwenyewe hajaondoka madarakani na hatujui huyo ajaye atakuwaje?
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Tech, take home msg ya hotuba yake hiyo ni moja: ni kuwa anaju kuwa "upuuzi" wote anaoufanya akija mwenye akili atavifuta vyote... sheria zote alizozitunga, badilisha, ddm, etc etc etc! Thank god he knows the after effects/aftermath of his deeds!
 
Hii sio habari nzuri kwa wale wezi wa ruzuku miaka 20hata kiwanda hawana na ndio chama kinakwenda kufa 2020

State agent
Biashara ya walio wengi kwenye the so called democracy ni hela hizo zinazoingizwa kwenye siasa. Hela za bure. Hazina kutolea jasho
 
Back
Top Bottom