dodoma

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapatia jeshi la polisi jengo la ghorofa nne ilii wahamie Dodoma

    Hapa ndipo itakapokuwa makao mkuu ya jeshi la polisi Tanzania mkoani Dodoma.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wale wa Dodoma ACCA na CPA Review Classes January 2020, karibuni sana

    Wale wa Dodoma mnaohitaji ACCA/ CPA karibuni sana. We are full time available for teaching services.
  3. kidadari

    JamiiForums Tanzania Police wapewa jengo la idara ya maji (Duwasa) kua makao makuu ya jeshi hilo Dodoma

    Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma. Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ammwagia sifa RC Mahenge wa Dodoma asema jiji hilo linabadilika kwa kasi na linaelekea kuipita Dsm

    Rais Magufuli amesema hakumtoa Dr Mahenge mkoani Ruvuma na kumleta Dodoma kwa bahati mbaya bali alifanya hivyo kwa kuwa anaujua uwezo wake tokea akiwa waziri wa Mazingira. Rais Magufuli amesema Dr Mahenge anaibadilisha Dodoma kwa kasi ya ajabu na mkoa huo unaelekea kwenda kuupiku mkoa wa Dsm...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya mambo ya ndani jijini Dodoma kuwa makao yao makuu

    Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma. Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo. Source: Channel ten
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apendekeza soko kuu la Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai

    Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai. Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma Source TBC
  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  8. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia Kwa Waziri wa Fedha Dokta Mpango Yaiomba AFDB Kujenga Barabara Njia Nne Morogoro Hadi Dodoma

    WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma...
  9. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kitongoji cha Sokoine. Asema amehamia Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais Magufuli amejitokeza katika kitongoji cha Sokoine jijini Dodoma kwa ajili ya kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Baada ya kujiandikisha, amewaambia wakazi wa eneo hilo kuwa kwa sasa yeye ni mwenzao na ameshahamia rasmi kwenye Ikulu ya Chamwino. Hivyo yeye ni mwenzao...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mh. Kangi Lugola asema hakuna Mtanzania ambaye atafungiwa laini yake ya simu kwa sababu ya kutosajili kwa alama za vidole

    SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Kauli hiyo ameitoa Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani, alipozungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 13 Septemba 2019. Amesema, ni maelekezo ya Rais John Magufuli kwamba...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

    Wanabodi, Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda. Andamana nami...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yataja mikoa vinara uvutaji bangi

    Serikali imesema matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi bado ni tatizo nchini, huku yakishika kasi katika mikoa ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma. Wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini), Ali Keisy (Nkasi Kaskazini) na aliyekuwa Mbunge wa Arumeru...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma tutahamia au tusahau?

    Iliposemekana kuwa serikali itahamia Dodoma watu walitoa sababu nyingi za msingi za uzuri wa kuhamia Dodoma, kiusalama na kiuchumi. Lakini naona ni baadhi tu ya Wizara zimehamia Dodoma huku wakubwa wakibaki Dar. Na nakumbuka kipindi kile kulikwa na kasi sana ya kuhamia kule, je zilikuwa nguvu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kununuliwa kwa ndege, Reli na kuhamia Dodoma ni kilimo cha kurudisha Siasa za Wazee!?

    Tumekuwa tukishuhudia watu mbalimbali wakitumia MAISHA ya mazingira kuwafundisha watu MAISHA ya Siasa, uchumi, utamaduni, sanaa n.k Mambo makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya Tano ni ishara kubwa kuwa nyumba ya ikulu ilikuwa inanuka na maandalizi ya kufikia uchumi wa Kati Kwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

    Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake. Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife...
  16. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania Barabara za mzunguko Dodoma kujengwa kwa miezi 36

    Ujenzi wa barabara za mzunguko katika Jiji la Dodoma zenye urefu wa kilomita 112.3 utafanyika kwa miezi 36 huku Sh17 bilioni zikitengwa kuwalipa wananchi fidia. Kiasi cha Sh494 bilioni za ujenzi wa barabara hizo kitatolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Serikali ya Tanzania. Akizindua...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Askari Polisi aliyemnywesha sumu mtoto wa dada yake, apandishwa Kizimbani

    Mjomba wa Mtoto Aliyenyweshwa Sumu, Kizimbani. Ashitakiwa Kwa Jaribio la Kuua, RCO Aomba Asidhaminiwe. Christopher Charles (23) ambaye alikuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) cha Mkoa wa Dodoma, jana Oktoba 24, 2019 amefikishwa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mkoa huo, Lucas Jang’andu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Shirika la Nyumba Nchini(NHC) kujenga nyumba 1000 za kuuza,kupangisha Dodoma

    SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC) linakusudia kujenga nyumba 1,000 mkoani Dodoma za kuuza na kupangisha kwa lengo la kutumia fursa ya Serikali kuhamia mkoani hapo. Akizungumza jana, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Maulid Banyani mbele ya Kamati ya Hesabu za Serikali alisema hivi sasa wapo kwenye...
  19. Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM kumenoga, Nabii Tito ndani ya sare ya Chama

  20. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Rais yako Dar es Salaam au Dodoma?

    Juzi nilimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akisema amehamia rasmi jiji la vumbi Dodoma na kujiandikisha mtaa wa jirani na ofisi yake na makazi yake yalipo Ikulu ya Chamwino. Lakini kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikimuona Mheshimiwa akiapisha watu Ikulu ya Dar es Salaaam, na leo amepokea...
Back
Top Bottom