Natafuta msichana yeyote aliyeko Dodoma na yuko tayari, ili nimvishe pete

Bubolwa Chura

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
300
559
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo;

Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata kidogo. Kilichosababisha nikajua ni rafiki yangu waliyekutana kwenye semina Da es salaam ambapo demu wangu alijirahisisha sana akatembea na huyo jamaa bila kujua kama tunafahamiana na nirafiki yangu sana ingawa tulipotezana muda mrefu.

Baada ya kupita miezi kama mitatu toka mchumba wangu huyo atoke huko kwenye semina, nilikutana na jamaa yangu hapa Dodoma alikuwa amekuja kikazi. Katika story nikawa nimemgusia kusudio langu la kumwingeji shemejiye na kauanza process za kuoa. Baada ya mumjulisha akataka kumfahamu shemeji yake hata kwa picha. Ikabidi nichukue simu nimuoneshe, baada ya kumuonesha alishituka sana, baadae akataka kuonesha kama hajashituka. Ikabidi nimbane kulikoni mbona ameshituka na amekosa amani ghafla? alijibaraguza ili aonyeshe kama hajashituka, ila nikaendelea kumbana sana na badae akanipa mkanda mzima jinsi walivyokutana Dar na mchumba wangu na jinsi alivyotembea nae. Nikamuuliza bado mnawasiliana? akasema, kusema ukweli bado tunawasiliana ingawa sijatembea nae tena toka kipindi hicho cha semina.

Toka siku hiyo nilisiitisha mipango yote kwasababu nigundua mwenzangu sio mwaminifu hata kidogo.

Sasa ni mwaka na miezi kadhaa toka tukio hili litokee na nilisitisha hata mawasiliano nae nikaamua tu kukaa kimya na kufanya mambo yangu mwenye.

Nimeonelea nije kwenu wadau ili nitafte mtu mwingine atakayekuwa anajua kwanini sipo kwenye mahusiano ili asije akachezea moyo wangu tena.

Nakaribisha maombi kama kuna mdada yuko tayari kuanzisha mahusiano ambayo mola akijaalia badae tuje tuishi pamoja.

Kwasasa nina miaka 33, na ninafanya kazi zangu binafsi. Mdada atakayekuwa tayari asiwe chini ya miaka 25 - na 30.

Nawashukuru kwa kunivumilia maelezo yangu yanaweza kuwa hayako straight sana lakini natumaini nimeeleweka.
 
Kijana ulihongewa hebu tupe uzoefu wa maumivu uliyopitia!!! Nakushauri pia hapa kama unataka kuoa Mwanamke ni yule unayemfahamu anakoishi, ndugu zake na hapo utajua tabia zake humu JF labda kama unataka kuchapa usepe.
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo;

Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata kidogo. Kilichosababisha nikajua ni rafiki yangu waliyekutana kwenye semina Da es salaam ambapo demu wangu alijirahisisha sana akatembea na huyo jamaa bila kujua kama tunafahamiana na nirafiki yangu sana ingawa tulipotezana muda mrefu.

Baada ya kupita miezi kama mitatu toka mchumba wangu huyo atoke huko kwenye semina, nilikutana na jamaa yangu hapa Dodoma alikuwa amekuja kikazi. Katika story nikawa nimemgusia kusudio langu la kumwingeji shemejiye na kauanza process za kuoa. Baada ya mumjulisha akataka kumfahamu shemeji yake hata kwa picha. Ikabidi nichukue simu nimuoneshe, baada ya kumuonesha alishituka sana, baadae akataka kuonesha kama hajashituka. Ikabidi nimbane kulikoni mbona ameshituka na amekosa amani ghafla? alijibaraguza ili aonyeshe kama hajashituka, ila nikaendelea kumbana sana na badae akanipa mkanda mzima jinsi walivyokutana Dar na mchumba wangu na jinsi alivyotembea nae. Nikamuuliza bado mnawasiliana? akasema, kusema ukweli bado tunawasiliana ingawa sijatembea nae tena toka kipindi hicho cha semina.

Toka siku hiyo nilisiitisha mipango yote kwasababu nigundua mwenzangu sio mwaminifu hata kidogo.

Sasa ni mwaka na miezi kadhaa toka tukio hili litokee na nilisitisha hata mawasiliano nae nikaamua tu kukaa kimya na kufanya mambo yangu mwenye.

Nimeonelea nije kwenu wadau ili nitafte mtu mwingine atakayekuwa anajua kwanini sipo kwenye mahusiano ili asije akachezea moyo wangu tena.

Nakaribisha maombi kama kuna mdada yuko tayari kuanzisha mahusiano ambayo mola akijaalia badae tuje tuishi pamoja.

Kwasasa nina miaka 33, na ninafanya kazi zangu binafsi. Mdada atakayekuwa tayari asiwe chini ya miaka 25 - na 30.

Nawashukuru kwa kunivumilia maelezo yangu yanaweza kuwa hayako straight sana lakini natumaini nimeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom