Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena...
Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini mh Patrobas Katambi amesema biashara ya ukahaba imeshamiri wilayani kwake na wanunuzi wakuu wa Huduma hiyo ni wabunge na zaidi wa upinzani.
Katambi amesema kuanzia sasa hawatawakamata makahaba pekee bali pamoja na wateja wao. Amedai kuwa anazo namba za magari ya...
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani.
Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally.
Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni...
Katika hali ya kustaajabisha Leo June 1, 2020 mamia ya wanachuo kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wameonekana wakisotea fedha zao za mkopo "Boom''
Hii imeleta sintofahamu maana Waziri wa Elimu ya Juu Mhe. Ndalichako alinukuliwa siku chache kabla ya vyuo kufunguliwa akisema kwamba mpaka sasa...
Naenda moja kwa moja kwenye hoja Mkuu.
Kwanza nikupongeze kwa jinsi unavyo pambana na wizi makao makuuu hapo Dodoma na sina shaka utendaji wako mkuu tangu ukiwa Mwanza
Ila leo nataka nnikuongezee taarifa pale Dom mjini jengo la Bima karibu mkono wa kushoto kama unakuja lilipo jengo la LAPF la...
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Maoni ya wadau:
Miongoni mwa kauli nzito aliyotoa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamin Mkapa ni kuwa enzi za utawala wake vikao vyote vya baraza la usalama la taifa vilifanyikia mjini Dodoma.
Tafsiri yake ni kuwa kikao hiki kilikuwa kinajadili mambo ya siri za usalama wa nchi (Labda ikiwemo upotezaji)...
Akiongea baada ya swala ya Eid jijini Dodoma, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imepungua sana nchini.
Amesema hadi leo asubuhi taarifa alizonazo hospitali nyingi hazina wagonjwa na chache zilizobaki wagonjwa wamepungua sana.
Kwa mfano Amana mgonjwa 1, Mloganzila 1...
Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget...
Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga.
Ndugai amesema hayo baada ya wabunge kudai TBA inawasumbua kuhusiana na mikataba yao ya upangaji na kuliomba bunge liwasaidie.
Spika Ndugai amewaambia wabunge wanapaswa kujenga nyumba...
Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19
Rais #Magufuli:
Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha.
Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
Wakuu habari napenda kuuliza anaefahamu kuhusu biashara ya kukoboa na kuuza mpunga maeneo ya Dodoma mjini na hata pembezoni mwa jiji.
Ningependa kufahamu
1. Upatikanaji wa mpunga kwa bei rahisi na mzuri huwa hasa maeneo gani?
2. usafirishaji wake ukoje na garama yake ina range kiasi gani?
3...
Wakati ujenzi wa uwanja wa mpira kwa ufadhili wa mfalme wa Morocco ukiwa hauelewiki maana hakuna kinachoendelea site, naomba kujuzwa ni nini kinaendelea kuhusu ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa katika eneo la Msalato mkoani Dodoma.
Nakumbuka iliripotiwa kuwa mkopo wa shilingi...
Mbunge wa zamani wa Ndanda, Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na mh Spika Ndugai naye ameitikia wito. Mwambe amesema ataukaribisha kwa moyo mweupe ushauri au uamuzi utakaotolewa na Spika wa bunge.
Amesema sasa anarejea rasmi bungeni kumalizia muda wake wa ubunge kwa kipindi kilichobaki...
TANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku.
RC Makonda amesema kwa...
Habari za mchana! Miaka ya 2016 kurudi nyuma Mamlaka ya maji safi Dodoma(DUWASA) ilikuwa inafanya vizuri sana Kwa kuwa matumizi ya maji hayakuwa makubwa sana na hii ilipelekea wawazuie baadhi ya wasambazaji Wa Huduma za maji kama water project iliyokuwa inasambaza maji maeneo ya Miyuji proper...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.